Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 | Vinara wa Magoli NBC Premier league 2024-25 | Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 | Wafungaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025

Ligi Kuu ya Tanzania Bara, inayojulikana rasmi kama NBC Premier League, imeanza kwa kishindo msimu wa 2024/2025. Michuano hii inahusisha timu bora kutoka pembe zote za Tanzania, zikishindana kwa ari na nguvu ili kumaliza msimu na heshima ya kuwa mabingwa. Yanga SC, ambao ni mabingwa watetezi, wanaingia kwenye msimu huu wakiwa na jukumu la kutetea taji lao, huku nyota wao Stephan Aziz Ki, akiwa na lengo la kutetea kiatu cha mfungaji bora baada ya kufanikiwa kufunga magoli 21 msimu uliopita.

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025

Mchuano wa Kumsaka Mfungaji Bora NBC Premier League 2024/25

Katika kila msimu wa Ligi Kuu ya NBC, mbio za kumsaka mfungaji bora ni mojawapo ya vipengele vinavyoleta msisimko mkubwa.

Wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu kutoka vilabu mbalimbali wanapambana ili kujitwalia kiatu cha dhahabu, kinachotolewa kwa mfungaji mwenye mabao mengi zaidi mwishoni mwa msimu. Msimu wa 2024/2025 unaonekana kuwa na ushindani mkali, ambapo wachezaji wachanga na wazoefu wanajitahidi kutikisa nyavu na kuongeza idadi ya mabao yao. Hadi sasa, tunashuhudia nyota mbalimbali wakianza kufunga na kujiweka kwenye ramani ya kugombea kiatu cha mfungaji bora.

Orodha ya Wafungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Hadi kufikia sasa, wachezaji waliofanikiwa kufumania nyavu katika michezo ya awali ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 ni kama ifuatavyo:

Nafasi Mchezaji Timu Magoli
1 Selemani Mwalimu Fountain Gate 3
2 Emmanuel Keyekeh Singida BS 2
3 Valentino Mashaka Simba 2
4 Redemtus Mussa KMC 2
5 Elvis Rupia Singida BS 2
6 Paul Peter Dodoma Jiji 2
7 Joshua Ibrahim KenGold 2
8 Maabad Maulid Coastal Union 1
9 Pius Buswita Namungo 1
10 Max Nzengeli Young Africans 1
11 Dickson Ambundo Fountain Gate 1
12 Kassim Suleiman Fountain Gate 1
13 Asiegbu Shedrack Tabora UTD 1
14 Ibrahim Ajibu Dodoma Jiji 1
15 Jean Ahoua Simba 1
16 Ibrahim Elias KMC 1
17 Steven Mukwala Simba 1
18 William Edgar Fountain Gate 1
19 Salum Chuku Tabora UTD 1
20 Anthony Tra Bi Singida BS 1

Msimu huu wa 2024/2025 bado una safari ndefu, na orodha ya wafungaji bora inaweza kubadilika kwa kasi. Ni wazi kwamba wachezaji wataendelea kujituma ili kuimarisha nafasi zao katika mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora.

Mashabiki wanafuatilia kwa karibu kuona nani atakayekuwa juu mwishoni mwa msimu, na kama Stephan Aziz Ki ataweza kutetea kiatu chake cha mfungaji bora au kama kuna nyota mpya atakayeng’ara msimu huu.

Vinara wa Magoli Msimu Uliopita wa 2023/2024

Nafasi

Mchezaji Timu Magoli
1 bfaKi Stephane Aziz Young Africans 21
2 tanFeisal Salum Azam 19
3 tanWaziri Shentembo KMC 12
4 codMax Nzengeli Young Africans 11
5 bdiSaidi Ntibazonkiza Simba 11
6 togMarouf Tchakei Singida BS 9
7 civKipre Junior Azam 9
8 tanMudathir Yahya Young Africans 9
9 codJean Baleke Simba 8
10 tanSamson Mbangula Tanzania Prisons 8
11 gamGibril Sillah Azam 8
12 tanReliant Lusajo Mashujaa 8
13 tanPius Buswita Namungo 7
14 tanAdam Adam Mashujaa 7
15 zamClatous Chama Simba 7
16 zimPrince Dube Azam 7
17 tanSeif Karihe Mtibwa Sugar 7
18 civPacome Zouzoua Young Africans 7
19 ghaEric Okutu Tabora UTD 7
20 tanIsmail Mgunda Singida BS 6
21 civJoseph Guede Young Africans 6
22 civFreddy Koublan Simba 6
23 tanClement Mzize Young Africans 6
24 tanValentino Mashaka Geita Gold 6
25 kenElvis Rupia Singida BS 6
26 zamObrey Chirwa Kagera Sugar 5
27 tanHabib Kyombo Fountain Gate 5
28 tanIddy Selemani Azam 5
29 zamKennedy Musonda Young Africans 5
30 tanZabona Mayombya Tanzania Prisons 5

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Wafungaji Bora EURO 2024: Hawa Ndio Vinara Wa Magoli
  2. Clement Mzize: Mfungaji Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Bank 2024
  3. Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
  4. Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2023/24: Wafalme wa Pasi za Mwisho Tanzania
  5. Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
  6. Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2023/24: Wafalme wa Pasi za Mwisho Tanzania
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo