Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ballon d’Or 2024

Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ballon dOr 2024

Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ballon d’Or 2024 | Wachezaji wanaoshindania Tuzo ya Ballon d’Or 2024

Tuzo ya Ballon d’Or ni moja ya tuzo za heshima kubwa zaidi katika ulimwengu wa soka. Kila mchezaji wa mpira wa miguu duniani ana ndoto ya siku moja kushinda tuzo hii, ambayo hutolewa kila mwaka kwa mchezaji bora zaidi duniani kwa kuzingatia mchango wake kwa klabu na timu ya taifa. Baada ya msimu wa 2023/2024 kukamilika, orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka 2024 imetangazwa. Tukio hili la kutangaza wachezaji bora litafanyika huko Paris, Ufaransa, tarehe 28 Oktoba 2024.

Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ballon d’Or 2024

Kwa upande wa wanaume, orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa inajumuisha majina makubwa kutoka vilabu vya juu barani Ulaya. Wachezaji hawa walichaguliwa kutokana na uwezo wao wa kipekee, na mchango mkubwa waliotoa katika vilabu vyao na timu zao za taifa katika msimu wa 2023/2024 kwenye mashindano mbalimbali ya mataifa na vilabu.

Katika orodha hii, tunashuhudia uwepo wa wachezaji wa vilabu kama vile Real Madrid, Manchester City, na Bayern Munich.

Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ballon d'Or 2024

Orodha ya Wachezaji Wanaowania Ballon d’Or 2024 kwa Wanaume

  1. Jude Bellingham (England, Real Madrid)
  2. Hakan Çalhanoğlu (Türkiye, Inter)
  3. Dani Carvajal (Spain, Real Madrid)
  4. Rúben Dias (Portugal, Manchester City)
  5. Artem Dovbyk (Ukraine, Dnipro / Girona / Roma)
  6. Phil Foden (England, Manchester City)
  7. Alejandro Grimaldo (Spain, Bayer Leverkusen)
  8. Erling Haaland (Norway, Manchester City)
  9. Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund)
  10. Harry Kane (England, Bayern Munich)
  11. Toni Kroos (Germany, Real Madrid)
  12. Ademola Lookman (Nigeria, Atalanta)
  13. Emiliano Martínez (Argentina, Aston Villa)
  14. Lautaro Martínez (Argentina, Inter )
  15. Kylian Mbappé (France, Paris Saint-Germain / Real Madrid)
  16. Martin Ødegaard (Norway, Arsenal)
  17. Dani Olmo (Spain, Leipzig / Barcelona)
  18. Cole Palmer (England, Manchester City / Chelsea)
  19. Declan Rice (England, Arsenal)
  20. Rodri (Spain, Manchester City)
  21. Antonio Rüdiger (Germany, Real Madrid)
  22. Bukayo Saka (England, Arsenal)
  23. William Saliba (France, Arsenal)
  24. Federico Valverde (Uruguay, Real Madrid)
  25. Vinícius Júnior (Brazil, Real Madrid)
  26. Vitinha (Portugal, Paris Saint-Germain)
  27. Nico Williams (Spain, Athletic Club)
  28. Florian Wirtz (Germany, Bayer Leverkusen)
  29. Granit Xhaka (Switzerland, Bayer Leverkusen)
  30. Lamine Yamal (Spain, Barcelona)

Orodha ya Wachezaji Wanaowania Ballon d’Or 2024 kwa Wanawake

  1. Barbra Banda (Zambia, Shanghai RCB / Orlando Pride)
  2. Aitana Bonmatí (Spain, Barcelona)
  3. Lucy Bronze (England, Barcelona / Chelsea)
  4. Mariona Caldentey (Spain, Barcelona / Arsenal)
  5. Tabitha Chawinga (Malawi, Paris Saint-Germain / Olympique Lyonnais) Grace Geyoro (France, Paris Saint-Germain)
  6. Manuela Giugliano (Italy, AS Roma)
  7. Caroline Graham Hansen (Norway, Barcelona)
  8. Patricia Guijarro (Spain, Barcelona)
  9. Giulia Gwinn (Germany, Bayern München)
  10. Yui Hasegawa (Japan, Manchester City)
  11. Ada Hegerberg (Norway, Olympique Lyonnais)
  12. Lauren Hemp (England, Manchester City)
  13. Lindsey Horan (USA, Olympique Lyonnais)
  14. Lauren James (England, Chelsea)
  15. Marie-Antoinette Katoto (France, Paris Saint-Germain)
  16. Alyssa Naeher (USA, Chicago Red Stars)
  17. Sjoeke Nüsken (Germany, Chelsea)
  18. Ewa Pajor (Poland, VfL Wolfsburg / Barcelona)
  19. Salma Paralluelo (Spain, Barcelona)
  20. Gabi Portilho (Brazil, Corinthians)
  21. Alexia Putellas (Spain, Barcelona)
  22. Mayra Ramírez (Colombia, Levante / Chelsea)
  23. Trinity Rodman (USA, Washington Spirit)
  24. Lea Schüller (Germany, Bayern München)
  25. Khadija Shaw (Jamaica, Manchester City)
  26. Sophia Smith (USA, Portland Thorns)
  27. Mallory Swanson (USA, Chicago Red Stars)
  28. Tarciane (Brazil, Corinthians / Houston Dash)
  29. Glódís Viggósdóttir (Iceland, Bayern München)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Wasanii Wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania TMA 2023/2024
  2. Tuzo za PFA: Timu Bora ya Ligi Kuu ya Uingereza 2023/2024 Yatajwa
  3. Phil Foden Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora EPL MVP
  4. Khalid Aucho Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Yanga
  5. Washindi wa Tuzo za TFF 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo