Wachezaji wa Kike wa Tanzania Wanaocheza Mpira Nje ya Nchi 2024
Katika miaka ya hivi karibuni, soka la wanawake nchini Tanzania limepiga hatua kubwa. Wachezaji wa Kitanzania sasa wanapata fursa za kucheza katika vilabu vya nje ya nchi, jambo linaloashiria ukuaji wa vipaji vyao na mchango wao katika tasnia ya michezo duniani. Mwaka 2024, tunaona ongezeko la idadi ya wachezaji wa kike wa Tanzania wanaocheza soka nje ya mipaka ya nchi, wakileta heshima kwa taifa lao na kuonyesha uwezo wao katika ligi mbalimbali za kimataifa.
Hapa chini ni orodha ya wachezaji wa kike wa Tanzania wanaocheza soka nje ya nchi kwa mwaka 2024 pamoja na vilabu wanavyoviwakilisha:
1. Noela Patrick Luhala
Klabu: Tek Aviv University Club
Nchi: Israel
2. Hasnath Linus Ubamba
Klabu: Tutankhamun FC
Nchi: Misri
3. Maimuna Hamis Kaimu
Klabu: FC Masr
Nchi: Misri
4. Suzana Adam Manumbu
Klabu: Tutankhamun FC
Nchi: Misri
5. Julitha Singano
Klabu: FC Juarez
Nchi: Mexico
6. Opa Clement Tukumbuke
Klabu: Henan FC
Nchi: China
7. Clara Cleitus Luvanga
Klabu: Al Nassr
Nchi: Saudi Arabia
8. Enekia Kasonga Lunyamila
Klabu: Mazatlan Femenil
Nchi: Mexico
9. Diana Lucas Msewa
Klabu: Trabzonspor
Nchi: Uturuki
10. Aisha Khamis Masaka
Klabu: Brighton & Hove Albion
Nchi: Uingereza
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply