Waamuzi Watakao chezesha Yanga SC vs Azam Ngao ya Jamii 2024
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi orodha wa waamuzi wa mchezo wa fainali ya michuano ya Ngao Ya Jamii 2024 kati ya Yanga SC dhidi ya Azam FC keshoitakayo chezeka Agosti 11 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam. Arajiga atasaidiwa na Frank Komba na Mohamed Mkono, huku mwamuzi wa akiba akiwa Amina Kyando.
- Mwamuzi Wa Kati Ahmed Arajiga (Manyara)
- Mwamuzi Msaidizi 1 Frank Komba (Dsm)
- Mwamuzi Msaidizi 2 Mohamed Mkono (Tanga)
- Mwamuzi Wa Akiba Amina Kyando (Morogoro)
- Mtathmini Waamuzi Soud Abdi (Arusha)
Mapendekezo ya Mhariri:
- Waamuzi Watakao chezesha Simba SC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024: Hawa Hapa!
- Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
- Ratiba ya Fainali Ngao Ya Jamii 2024
- Matokeo ya Ngao ya Jamii 2024
- Matokeo ya Azam Vs Coastal Union Leo Ngao ya Jamii 08/08/2024
- Nchi za Afrika Zilizopata Medali za Olympics 2024
- Vituo vya Kukata Tiketi Mechi ya Ngao ya Jamii Yanga vs Simba
Leave a Reply