Vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura Halmashauri ya Mji wa Kondoa
Uandikishaji wapiga kura ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi wowote. Katika Halmashauri ya Mji wa Kondoa, vituo mbalimbali vimewekwa ili kuhakikisha wananchi wanapata fursa ya kujiandikisha mapema katika daftari la wapiga kura kwa urahisi na kwa wakati. Katika makala hii, tumekuletea orodha kamili ya vituo vya uandikishaji wapiga kura katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Mji wa Kondoa, pamoja na maelezo muhimu yatakayosaidia wapiga kura kufika kwenye vituo hivyo.
Kata ya Chemchem
Kata ya Chemchem ina jumla ya vituo vitano vya uandikishaji, kila kimoja kikiwa kimesambazwa kwenye mitaa tofauti. Vituo hivi ni kama ifuatavyo:
- Mtaa wa Kwapakacha: Shule ya Msingi Kondoa na Shule ya Sekondari Kwapakacha
- Mtaa wa Chemchem: Ofisi ya Mtendaji Kata A na Ofisi ya Mtendaji Kata B
- Mtaa wa Iboni: Cluster Iboni na Shule ya Msingi Iboni
- Mtaa wa Ubembeni: Shule ya Msingi Ubembeni na Ofisi ya Mtendaji Ubembeni
Kata ya Kilimani
Hapa, wapiga kura wanaweza kujiandikisha katika vituo vifuatavyo:
- Mtaa wa Bicha: Shule ya Msingi Bicha na eneo la wazi la Standi ya Arusha
- Mtaa wa Kilimani: Shule ya Msingi Kilimani na Ofisi ya Mtendaji Kilimani
- Mtaa wa Unkuku: Ofisi ya Mtendaji Unkuku
- Mtaa wa Damai: Shule ya Msingi Damai na eneo la wazi la Wiskwasti
Kata ya Serya
Katika kata hii, vituo vya uandikishaji vimegawanywa kama ifuatavyo:
- Mtaa wa Mongoroma: Shule ya Msingi Mongoroma na eneo la wazi Kanindo
- Mtaa wa Munguri: Ofisi ya Mtendaji Munguri na Shule ya Msingi Munguri
- Mtaa wa Serya: Ofisi ya Mtendaji Serya na Shule ya Sekondari Serya
- Mtaa wa Chandimo: Shule ya Msingi Dumi na eneo la wazi Hurumbi
Kata ya Kolo
Kwa wakaazi wa Kolo, vituo vya uandikishaji ni kama ifuatavyo:
- Mtaa wa Kolo A: Ofisi ya Mtendaji Kolo na Shule ya Msingi Kolowasi
- Mtaa wa Kolo B: Ofisi ndogo ya mambo ya katiba na Shule ya Sekondari Kolo
- Mtaa wa Choka: Shule ya Msingi Choka na Ofisi ya Mtendaji Choka
- Mtaa wa Gubali: Shule ya Msingi Gubali na eneo la wazi Gubali
Kata ya Kingale
Hapa kuna vituo mbalimbali vya uandikishaji kama ifuatavyo:
- Mtaa wa Kingale: Shule ya Msingi Kingale na Ofisi ya Mtendaji Kata
- Mtaa wa Iyoli: Eneo la wazi la Ofisi ya Mtendaji Iyoli
- Mtaa wa Chemchem: Shule ya Msingi Chemchem
- Mtaa wa Msui: Eneo la wazi la jengo jipya la Mtendaji
- Mtaa wa Tampori: Shule ya Msingi Tampori
- Mtaa wa Kwamtarwa: Ofisi ya Mtendaji Kwamtarwa
Kata ya Bolisa
Kwa wanaoishi katika kata ya Bolisa, vituo vya uandikishaji ni kama ifuatavyo:
- Mtaa wa Bolisa: Ofisi za SACCOS na eneo la wazi Mlange
- Mtaa wa Poisi: Ofisi ya Mtendaji Poisi
- Mtaa wa Itiso: Shule ya Msingi Itiso
Kata ya Kondoa Mjini
Katika kata hii ambayo ni kitovu cha Halmashauri ya Kondoa Mjini, kuna vituo vingi vya uandikishaji vilivyowekwa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anapata fursa ya kujiandikisha. Vituo ni kama ifuatavyo:
- Mtaa wa M/Shamba: Eneo la wazi (Uwanja wa Soko) na Shule ya Msingi Maji ya Shamba
- Mtaa wa Mnarani: Ofisi ya Mtendaji Kata A na Shule ya Msingi Soko Mjinga
- Mtaa wa Tumbelo: Ofisi ya Mtendaji Tumbelo na Shule ya Msingi Serogongo
- Mtaa wa Miningani: Shule ya Msingi Miningani na Ofisi ya Mtendaji OTTU
- Mtaa wa Kichangani: Shule ya Msingi Kichangani na Eneo la wazi Mkujani
- Mtaa wa Mapinduzi: Shule ya Msingi Mapinduzi
Kata ya Suruke
Hii ni kata nyingine iliyo na vituo kadhaa vya uandikishaji:
- Mtaa wa Mulua: Shule ya Msingi Mulua
- Mtaa wa Ausia: Ofisi ya Mtendaji Ausia
- Mtaa wa Tungufu: Shule ya Msingi Tungufu na Ofisi ya Mtendaji Tungufu
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply