Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
Al Masry tayari wamewasili jijini Dar es Salaam kwa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Simba SC. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika nchini Misri, Simba walikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Masry.
Mchezo huu wa marudiano utakaopigwa Jumatano tarehe 9 Aprili 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ni fursa ya kipekee kwa mashabiki wa Simba kuisapoti timu yao kwa nguvu zote.
Simba SC wanahitaji ushindi wa mabao zaidi ya 2-0 ili kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, jambo linalohitaji umakini mkubwa katika safu ya ushambuliaji pamoja na uimara wa ulinzi ili kuwazuia Al Masry wasipate bao la ugenini.
Kwa mashabiki wote wanaotaka kushuhudia historia ikiandikwa, tiketi za mchezo huu tayari zimeanza kuuzwa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Ifuatayo ni orodha kamili ya vituo rasmi vya kununua tiketi zako mapema:
📍 Orodha ya Vituo vya Tiketi – Simba SC vs Al Masry
- Lampard Electronics – Simba HQ Msimbazi
- Vunja Bei Shops – All Shops (Dar es Salaam)
- New Tech General Traders – Yenu Bar
- Sabana Business Center – Mbagala Maji Matitu
- TTCL Shops – Dar es Salaam
- Juma Burrah – Msimbazi Center
- Halphani Hingaa – Dilcom Ubungo
- Mtemba Service Company – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo Rombo
- Mkaluka Traders Ltd – Machinga Complex
- Tawi la Simba – Karume Unstoppable
- Khalfani Mohammed – Ilala Bungoni
- Karoshy Pamba Collection – Dar Live
- Fusion Sports Wear – Posta DSM
- Gwambina Lounge – Temeke Opposite DUCE
- Antonio Service Co. – Sinza & Kivukoni
- Gisela Shirima – Dahomey Street
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign Co. – Kinondoni Makaburini
- Gitano Samwel – Mbagala Zakhem
- Robert Nyabululu – Ferry Kigamboni
- Nicovic Enterprises Limited – Segerea Dilcom
🏟️ Taarifa Muhimu za Mchezo
- Mchezo: Simba SC vs Al Masry SC
- Tarehe: Jumatano, 9 Aprili 2025
- Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
- Muda: Saa 10:00 Jioni (1600 HRS)
Mapendekezo ya Mhariri:
- Viingilio Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
- Al Masry Yawasili Dar Kwa Ajili ya Simba – Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF
- Simba Queens Kuachana na Yussif Basigi Mwisho wa Msimu
- Rupia Atupia Goli lake la 10 na Kuipa Singida Big Stars Pointi 3 Muhimu Dhidi ya Azam FC
- Man United Walazimishwa Sare na Man City Nyumbani Old Trafford
- Prince Dube Afukuzia Rekodi Yake Yanga Kimya Kimya
Leave a Reply