Viingilio Mechi ya Simba VS CS Sfaxien 15/12/2024

Viingilio Mechi ya Simba VS CS

Viingilio Mechi ya Simba VS CS Sfaxien 15/12/2024

Kituo kinachofuata kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) ni Uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, watawaalika CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa Kundi A. Kama wewe ni shabiki wa Simba au mpenzi wa soka unayetaka kushuhudia mtanange huu moja kwa moja, basi tumeandaa taarifa kamili kuhusu viingilio vya mechi hii ili kuhakikisha unapanga ratiba yako vyema.

Viingilio Mechi ya Simba VS CS Sfaxien 15/12/2024

Viingilio Rasmi

  1. Tanzanite: TZS 250,000
  2. Platinum: TZS 150,000
  3. VIP A: TZS 30,000 (Imeshushwa kutoka TZS 50,000)
  4. VIP B: TZS 20,000 (Imeshushwa kutoka TZS 30,000)
  5. VIP C: TZS 10,000 (Imeshushwa kutoka TZS 15,000)
  6. Machungwa: TZS 5,000 (Imeshushwa kutoka TZS 10,000)
  7. Mzunguko: TZS 3,000 (Imeshushwa kutoka TZS 5,000)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu Zinazoshiriki Mapinduzi cup 2025
  2. Ndoa Ya Coastal na Ley Matampi Yavunjika Rasmi
  3. Mapinduzi Cup 2025 Kuchezwa na Timu za Taifa Badala ya Vilabu
  4. Kocha Ramovic Aeleza Sababu za Yanga Kushindwa Mbele ya Waarabu
  5. Yanga Karibu Kumsajili Kelvin Nashon kutoka Singida
  6. Habib Kyombo Ajiunga na Pamba Jiji Kwa Mkopo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo