Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024

Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024

Leo Alhamisi, tarehe 16 Agosti 2024, saa kumi kamili jioni, Pamba Jiji Itawakalibisha Tanzania prison katika mtanange wa ufunguzi wa ligi kuu ya NBC Tanzania msimu wa 2024/2025. Mchezo huu utatimua vumbi katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kama wewe ni miongoni mwa wapenzi wa soka ambao wanapenda kutazama mpira mzuri live moja kwa moja uwanjani basi hapa Habariforum tumekuletea taarifa zote kuhusu viingilio vya mchezo huu.

Hivi apa ndio Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024

  • VIP: Tsh 10,000
  • Jukwaa Kuu: Tsh 5,000
  • Mzunguko: Tsh 2,000

Mahali pa Kununua Tiketi

Tiketi zinapatikana katika maeneo yafuatayo:

  • Ofisi kuu za Halmashauri ya Jiji Mwanza
  • Ofisi za TTCL-Mwanza
  • Uwanja wa CCM Kirumba (siku ya mechi)
  • Kwenye Gari Ya Matango (siku ya mechi)

Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Vikosi Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024
  2. Viingilio Mechi ya Vital O FC Vs Yanga Klabu Bingwa 17/08/2024
  3. Viingilio Mechi ya Fainali ya Yanga Vs Azam Fc Ngao Ya Jamii 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo