Viingilio Mechi ya Fainali ya Yanga Vs Azam Fc Ngao Ya Jamii 2024

Viingilio Mechi ya Fainali ya Yanga Vs Azam Fc Ngao Ya Jamii 2024

Baada ya michezo ya nusu fainali kukamilika apo agosti 8 sasa macho ya mashabiki wa soka Tanzania yameamia katika hatua ya fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii ambayo imefungua rasmi pazia la msimu wa 2024/2025. Fainali ya 2024 itawakutanisha mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania mara tatu mfululizo Yanga Sc dhidi ya Azam fc katika mtanange ambao unatarajiwa kua wakipekee. Mechi hii itachezeka katika dimba la kimataifa la Benjamin mkapa majira ya saa moja usiku.

Kama wewe ni mpenzi wa kutaka kuona mambo mubashara na sio kwa Tv basi tiketi za kuuzulia mchezo huu zimeanza kuuzwa rasmi. Bei za tiketi kushuhudia mechi ya fainali ya ngao ya jamii 2024 ni kama ifuatavyo

Viingilio Mechi ya Fainali ya Yanga Vs Azam Fc Ngao Ya Jamii 2024

  • VIP A 50,000
  • VIP B 30,000
  • VIP C 20,000
  • Machungwa 10,000
  • Mzunguko 5,000

Viingilio Mechi ya Fainali ya Yanga Vs Azam Fc Ngao Ya Jamii 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Waamuzi Watakao chezesha Yanga SC vs Azam Ngao ya Jamii 2024: Hawa Hapa!
  2. Waamuzi Watakao chezesha Simba SC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024: Hawa Hapa!
  3. Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
  4. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025
  5. Ratiba ya Fainali Ngao Ya Jamii 2024
  6. Matokeo ya Ngao ya Jamii 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo