Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/2024: Hawa Ndio Wagombea
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza orodha ya wachezaji wanaoshindania tuzo mbalimbali za TFF kwa msimu wa 2023/2024. Tuzo hizo zimepangwa kutolewa Agosti 1 2024 ambapo mashabiki na wadau wa soka nchini Tanzania watapata fursa ya kuwasherekea wachezaaji walioonesha kiwango kikubwa zaidi katika msimu wa 2023/2024. Hapa tumekuletea orodha katili ya wachezaji wanao wania Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/2024.
Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/2024: Hawa Ndio Wagombea
- Aziz KI – Young Africans Sc
- Feisal Salum – Azam
- Kipre Junior – Azam
- Djigui Diarra – Young Africans Sc
- Ley Matampi – Coastal
- Attohoula Yao – Young Africans Sc
- Ibrahim Bacca – Young Africans Sc
- Mohamed Hussein – Simba
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply