Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025

Timu Zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 | Timu zilizofuzu Makundi CAF Confederation CUP

Michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF ni moja kati ya mashindano makubwa na yenye mvuto barani Afrika baada ya Klabu Bingwa Afrika, ikihusisha vilabu vikubwa kutoka maeneo mbalimbali Afrika.

Msimu wa 2024/2025 umeanza na ushindani mkubwa, huku timu mbalimbali zikiwa kimepambana vikali kupigania nafasi ya kufuzu kwenye hatua ya makundi. Hatua ya awali ya mtoano imekamilika na sasa orodha kamili ya timu zilizofanikiwa kufuzu kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho CAF imewekwa wazi.

Safari ya kufikia hatua ya makundi kwa vilabu mbalimbali barani Afrika si rahisi. Michuano huanza kwa hatua za mtoano, ambapo vilabu vinavyoshiriki hupambana kwa lengo la kupata tiketi ya kufuzu makundi.

Katika msimu wa 2024/2025, vilabu vimeonesha ushindani wa hali ya juu katika hatua ya mtoano iliyofanyika mwezi Agosti na Septemba, na hatimaye timu bora zimeweza kufuzu.

Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025

Baada ya mechi za mtoano za raundi ya mwisho kukamilika tarehe 22 Septemba 2024, timu zifuatazo zimefuzu rasmi kushiriki hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho CAF kwa msimu wa 2024/2025:

  • Stade Malien πŸ‡²πŸ‡±
  • Zamalek SC πŸ‡ͺπŸ‡¬
  • RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦
  • CD Lunda Sul πŸ‡¦πŸ‡΄
  • CS Sfaxien πŸ‡ΉπŸ‡³
  • Constantine πŸ‡©πŸ‡Ώ
  • Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
  • Orapa United πŸ‡§πŸ‡Ό
  • Bravos do Maquis πŸ‡¦πŸ‡΄
  • Stellenbosch πŸ‡ΏπŸ‡¦

Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
  2. CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Ya Makundi 2024/2025
  3. Matokeo ya Simba Vs Al Ahli Tripoli Leo 22/09/2024
  4. Simba VS AL Ahli Tripoli Leo 22/09/2024 Saa Ngapi
  5. Kikosi cha Simba Vs Al Ahli Tripoli Leo 22/09/2024
  6. Yanga Sc Wafuzu Makundi Klabu Bingwa Kibabe
  7. Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  8. Matokeo ya Yanga Vs CBE SA Leo 21 September 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo