Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | Timu zilizofuzu Hatua ya Makundi Club Bingwa Afrika
Ligi ya Mabingwa wa Afrika, maarufu kama CAF Champions League, ni moja ya mashindano maarufu zaidi barani Afrika, yanayohusisha timu bora kutoka mataifa mbalimbali kuwania ubingwa wa bara hili. Msimu wa 2024/2025 umeanza kwa shauku kubwa, huku timu kadhaa zikifanikiwa kupata tiketi ya kushiriki katika hatua ya makundi baada ya mechi kali na zenye ushindani mkubwa. Hapa Habariforum tutakuletea orodha kamili ya vilabu vyote vitakavyojipatia tiketi ya kushiriki hatua ya Makundi katika michuano ya klabu bingwa ya CAF.
Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
CR Belouizdad imekua timu ya kwanza kuthibitisha nafasi yake katika hatua ya makundi ya msimu wa 2024/2025. Timu hii kutoka Algeria ilifanikiwa kuwatoa wapinzani wao AS Douanes kutoka Burkina Faso. Katika mchezo wa pili wa marudiano, CR Belouizdad ilishinda kwa mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1 kwa jumla ya mabao. Ushindi wa penalti wa 4-3 uliwapa nafasi ya kushiriki tena hatua ya makundi, ikiwa ni mara yao ya tano kufuzu katika historia ya mashindano haya.
Hapa Chini ni orodha ya timu zilizofuzu hatua ya makundi club bingwa afrika
- CR Belouizdad 🇩🇿
- TP Mazembe 🇨🇩
- AS Maniema 🇨🇩
- Al Ahly 🇪🇬
- Mamelodi Sundowns 🇿🇦
- Orlando Pirates 🇿🇦
- ES Tunis 🇹🇳
- Pyramids FC 🇪🇬
- MC Alger 🇩🇿
- Raja Club Athletic 🇲🇦
- GD Sagrada 🇦🇴
- Djoliba AC 🇲🇱
- Stade d’Abidjan 🇨🇮
- Young AFricans Sc 🇹🇿
- AS FAR 🇲🇦
- Al Hilal SC 🇸🇩
Angalia Hapa Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
1. CR Belouizdad
2. TP Mazembe
3. Orlando Pirates
4. Raja Club Athletic
5. Pyramids FC
6. ES Tunis
7. Young Africans SC
8. Al Ahly FC
9. Mamelodi Sundowns FC
10. AS Maniema Union
Mapendeklezo ya Mhariri:
Leave a Reply