Ratiba ya Timu za Taifa Agosti-Disemba 2024

Ratiba ya Timu za Taifa TFF

Ratiba ya Timu za Taifa Agosti-Disemba 2024

Msimu wa Agosti hadi Desemba 2024 umejaa mashindano na mechi muhimu kwa timu za taifa za Tanzania. Kipindi hiki kinaangazia mashindano mbalimbali kuanzia mashindano ya vijana hadi mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hapa kuna orodha ya matukio muhimu ambayo yatakuwa kwenye ratiba ya timu za taifa.

Ratiba ya Timu za Taifa Agosti-Disemba 2024

U-12 Female Universal Youth Cup – China

  • Tarehe: Agosti 21-23, 2024
  • Mahali: Dingnan, China

Beach Soccer Casablanca Cup

  • Tarehe: Agosti 16-18, 2024
  • Mahali: Morocco

U-17 Girls UNAF Competition Tunisia

  • Tarehe: Septemba 1-3, 2024
  • Mahali: Tunisia

Taifa Stars vs Ethiopia

  • Tarehe: Septemba 4, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: Tanzania

Guinea vs Taifa Stars

  • Tarehe: Septemba 10, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: Guinea

TDS U-15 Ivory Coast

  • Tarehe: Septemba, 2024
  • Mahali: Ivory Coast

Camp Beach Soccer Oman

  • Tarehe: Septemba hadi Oktoba, 2024
  • Mahali: Oman

U-15 (Bosnia Competition)

  • Tarehe: Oktoba 1-7, 2024
  • Mahali: Bosnia

DR Congo vs Taifa Stars

  • Tarehe: Oktoba 7-15, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: DR Congo

Taifa Stars vs DR Congo

  • Tarehe: Oktoba 7-15, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: Tanzania

AFCON Qualifiers (U-20 Boys)

  • Tarehe: Oktoba 5-19, 2024
  • Mahali: Dar es Salaam, Tanzania

Beach Soccer AFCON 2024 Egypt

  • Tarehe: Oktoba 19-26, 2024
  • Mahali: Misri

Ethiopia vs Taifa Stars

  • Tarehe: Novemba 11-19, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: Ethiopia

Taifa Stars vs Guinea

  • Tarehe: Novemba 11-19, 2024
  • Mashindano: Mechi ya Kundi H ya kufuzu AFCON 2025
  • Mahali: Tanzania

U-17 AFCON Qualifiers

  • Tarehe: Desemba, 2024
  • Mahali: Itatangazwa

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Uhamiaji vs Al Ahli Tripoli Leo 18/08/2024
  2. Kikosi cha JKU Vs Pyramids Leo 18/08/2024 CAF
  3. Matokeo Ya JKU Vs Pyramids Leo 18/08/2024 Klabu Bingwa
  4. Kikosi Cha Azam Vs APR Leo 18/08/2024 Club Bingwa
  5. Matokeo ya Azam Vs APR Leo 18/08/2024 Klabu Bingwa
  6. Kikosi cha Kengold 2024/2025 (Wachezaji wote wa KenGold FC)
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo