Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 | Ratiba ya Michezo ya Simba Ligi Kuu Tanzania Bara

Msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 unakaribia kuanza, na mashabiki wa soka kote nchini Tanzania wanasubiri kwa hamu kuona jinsi wekundu wa msimbazi Simba Sc watakavyo fanya. Kwa Simba SC, Msimu huu mpya unatazamiwa kua ndio msimu wa timu hii kurudisha ubabe wake na kubeba ubingwa kwa mara nyengine. Ratiba ya mechi imetoka, na sasa tunaweza kuona ni vipi safari yao itaanza.

Katika msimu huu wa 2024/2025, Simba SC itakuwa ikiutumia uwanja wa KMC Complex, Mwenge, kama uwanja wao wa nyumbani.

Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu imetoka, na mechi tano za kwanza za Simba SC ni kama ifuatavyo:

  • Simba SC vs Tabora United (KMC Complex)
  • Simba SC vs Fountain Gate (KMC Complex)
  • Prisons vs Simba SC (Sokoine)
  • Azam FC vs Simba SC (Benjamin Mkapa)
  • Simba SC vs Namungo FC (KMC Complex)

Mechi hizi za kwanza zitakuwa kipimo muhimu kwa Simba SC. Watahitaji kuanza msimu kwa ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea taji lao. Mechi dhidi ya Azam FC na Prisons zitakuwa ngumu haswa, kwani hizi ni timu zenye ushindani mkubwa.

Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

Hii Apa Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

Tarehe Nyumbani Dhidi Ugenini Muda Dimba
18-Aug-24 Simba SC VS Tabora United 16:15 KMC Complex
25-Aug-24 Simba SC VS Fountain Gate 16:00 KMC Complex
Azam FC VS Simba SC TBA Benjamin Mkapa
TBA Simba SC VS Namungo FC TBA KMC Complex
4-Oct-24 Simba SC VS Coastal Union 16:15 KMC Complex
19-Oct-24 Simba SC VS Young Africans 17:00 KMC Complex
Mashujaa FC VS Simba SC TBA Lake Tanganyika
TBA Simba SC VS JKT Tanzania TBA KMC Complex
Simba SC VS KMC FC TBA TBA
21-Nov-24 Pamba Jiji VS Simba SC 16:15 CCM Kirumba

Mapendekezo ya Mhairi:

  1. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
  2. Ratiba ya Fainali Ngao Ya Jamii 2024
  3. Matokeo ya Yanga Vs Simba Leo Ngao Ya Jamii 08/08/2024
  4. Matokeo ya Ngao ya Jamii 2024
  5. Nchi za Afrika Zilizopata Medali za Olympics 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo