Ratiba ya Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Ratiba ya Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Ratiba ya Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameandika historia mpya kwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa sasa wa mashindano hayo uanze mwaka 2004. Baada ya mchezo wa kusisimua uliomalizika kwa sare ya jumla ya mabao 2-2 dhidi ya Al Masry ya Misri, Simba walionyesha ukomavu na utulivu mkubwa kwa kushinda mikwaju ya penalti kwa 4-1 na kufuzu hatua inayofuata ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika.

📅 Ratiba Rasmi ya Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2025 – Simba SC

Wekundu wa Msimbazi wataanza kampeni ya nusu fainali kwa kuikaribisha Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kusafiri kwa mchezo wa marudiano. Hii hapa ni ratiba kamili:

Mkondo wa Kwanza:

  • 🗓 20 Aprili 2025
  • 📍 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
  • 🏟 Simba SC vs Stellenbosch

Mkondo wa Pili:

  • 🗓 27 Aprili 2025
  • 📍 Afrika Kusini
  • 🏟 Stellenbosch vs Simba SC

Ratiba ya Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Mikwaju ya Penati Yaipeleka Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho CAF
  2. Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
  3. Viingilio Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
  4. Al Masry Yawasili Dar Kwa Ajili ya Simba – Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF
  5. Simba Queens Kuachana na Yussif Basigi Mwisho wa Msimu
  6. Rupia Atupia Goli lake la 10 na Kuipa Singida Big Stars Pointi 3 Muhimu Dhidi ya Azam FC
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo