Ratiba ya Mechi za Tanzania (Taifa Stars) Afcon 2025

Ratiba ya Mechi za Tanzania Taifa Stars Afcon 2025

Ratiba ya Mechi za Tanzania (Taifa Stars) Afcon 2025

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Morocco 2025. Michuano hiyo itachezwa kwenye viwanja tisa katika miji sita tofauti, kuanzia Desemba 21, 2025, hadi Januari 18, 2026.

Morocco na Comoros watafungua michuano hiyo Desemba 21, 2025, kwa mchezo wa Kundi A kwenye Uwanja wa Complexe Sportif Prince Moulay Abdellah huko Rabat. Uwanja huu mpya una uwezo wa kuchukua mashabiki 69,500.

mji wa Rabat utakuwa na viwanja vinne vya mechi, huku miji mingine ya wenyeji ikiwa ni Casablanca, Agadir, Marrakech, Fes na Tangier. Kila mji utakuwa na uwanja wake mmoja. Mechi nne za robo fainali zitachezwa kwenye Uwanja wa Complexe Sportif Prince Moulay Abdellah huko Rabat, pamoja na viwanja vya Tangier, Marrakech na Agadir.

Mechi za nusu fainali zitafanyika kwenye viwanja vya Complexe Sportif Prince Moulay Abdellah huko Rabat na Uwanja wa Mohamed V huko Casablanca. Fainali itachezwa kwenye Uwanja wa Complexe Sportif Prince Moulay Abdellah huko Rabat.

Ratiba Rasmi ya Mechi za Taifa Stars katika AFCON 2025

🔹 Nigeria 🇳🇬 vs Tanzania 🇹🇿

  • 📅 Tarehe: Disemba 23, 2025
  • 🏟️ Uwanja: Fez Stadium

🔹 Uganda 🇺🇬 vs Tanzania 🇹🇿

  • 📅 Tarehe: Disemba 27, 2025
  • 🏟️ Uwanja: Al Barid Stadium

🔹 Tanzania 🇹🇿 vs Tunisia 🇹🇳

  • 📅 Tarehe: Disemba 30, 2025
  • 🏟️ Uwanja: Prince Moulay Stadium

Ratiba ya Mechi za Tanzania (Taifa Stars) Afcon 2025

Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia timu yao itafanya vizuri na kusonga mbele katika mashindano haya. Taifa Stars inakabiliana na changamoto kubwa, lakini ikiwa na maandalizi mazuri, inaweza kuandika historia kwa kufikia hatua za juu kwenye AFCON 2025.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. CAF Yatangaza Ratiba Ya Fainali za Afcon 2025
  2. Droo ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2024/2025 Hatua ya 32 & 16 Bora
  3. Matokeo ya Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025
  4. Kikosi cha Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025
  5. Fountain Gate VS Simba Leo 06 Februari 2025 Saa Ngapi?
  6. RATIBA ya Mechi za Leo 06 Februari 2025
  7. CV ya Miloud Hamdi, Kocha Mpya wa Yanga 2025
  8. Matokeo ya Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025
  9. Kilichomuondoa Ramovic Yanga Hatimaye Chafichuka
  10. CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Robo Fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo