Ratiba ya Mechi za Ligi Kuu ya NBC Leo Oktoba 22, 2024
Mechi za Msimu wa 2024/2025 za Ligi kuu Tanzania Bara leo zitaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali, mashabiki wa soka Tanzania wanatarajia kuona michezo yenye ushindani mkubwa. Unaotarajiwa kua wenye ushindani mkubwa zaidi siku ya leo ni ule unaowakutanisha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, dhidi ya wajelajela Tanzania Prisons, ambao utafanyika katika uwanja wa Sokoine, Mbeya, Tanzania. Hapa Habariforum tumekuletea ratiba kamili ya michezo yote ya leo ili usipitwe na burudani yeyote.
Tanzania Prisons Vs Simba Sc
- saa- 10:00 Jioni
- Uwanja wa Sokoine
Yanga Sc Vs JKT TZ
- Saa- 1:00 Usiku
- Uwanja wa Azam Complex
Mapendekezo ya Mhariri:
- Gamondi Asifu Ubora Waliouonesha Simba Kariakoo Derby
- Ligi Kuu Zanzibar 2024/2025 Yaanza Kuchangamka
- Erik Ten Hag Hajaridhika na Ushindi Dhidi ya Brentford, Ajiandaa Kukabiliana na Mourinho
- Ngorongoro Heroes Yatwaa Kombe la CECAFA U-20 Baada ya Kuicharaza Kenya
- Yanga Yaendelea Kugawa Dozi Kwa Maasimu Wake wa Msimbazi
Leave a Reply