Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2024

Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2024

Leo tarehe 18 Septemba 2024 inatarajiwa kuwa siku yenye burudani kubwa kwa mashabiki wa soka kutokana na uwepo wa mechi nyingi za kuvutia hasa zile za michuano ya klabu bingwa Ulaya (UEFA Champions League). Mashabiki wa mpira wa miguu pia watakuwa na nafasi ya kufurahia michezo ya ligi tofauti, ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga), na mashindano mengine muhimu.

Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2024

Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)

Katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi kadhaa zinatarajiwa kupigwa ambapo timu kubwa za Ulaya zitakuwa uwanjani kupambania nafasi zao katika hatua za mbele. Mechi za Ligi ya Mabingwa zinazoangaziwa ni pamoja na:

  • Bologna vs Shakhtar Donetsk – Saa 17:45
  • Sparta Prague vs Red Bull Salzburg – Saa 17:45
  • Celtic vs SK Slovan Bratislava – Saa 20:00
  • Club Brugge vs Borussia Dortmund – Saa 20:00
  • Manchester City vs Inter Milan – Saa 20:00
  • Paris Saint-Germain vs Girona – Saa 20:00

Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga)

Katika Ligi Kuu ya Uhispania, mashindano yanaendelea kwa kasi huku mechi moja tu ikitarajiwa kuchezwa leo:

  • Real Betis vs Getafe – Saa 18:00

Mechi za Soka la Wanawake (Women’s Champions League Qualifying)

Katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa mpira wa miguu wa wanawake, mechi nyingi za kufuzu zinachezwa leo. Timu kadhaa zitapambana kusaka tiketi za kufuzu katika hatua za makundi:

  • Paris FC vs Manchester City Women – Saa 17:45
  • BK Häcken Women vs Arsenal Women – Saa 18:00
  • Hammarby Women vs Benfica Women – Saa 18:00
  • Juventus Women vs Paris Saint-Germain Women – Saa 18:00
  • Firenze Women vs VfL Wolfsburg Women – Saa 19:00

Kwa mara nyingine, soka la wanawake linaendelea kuvutia mashabiki wengi duniani kote, na mechi hizi zitatoa fursa kwa mashabiki kuona vipaji vya kipekee vya wanawake uwanjani.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kipa wa CBE Aeleza Hofu Yake Kuelekea Mchezo wa Pili Ligi ya Mabingwa, Amtaja Prince Dube
  2. Marefa Mechi za Simba na Yanga Klabu Bingwa Afrika
  3. Viingilio Mechi ya Yanga Vs CBE 21/09/2024
  4. Vituo Vya Kukata Tiketi Mechi ya Yanga Vs CBE 21/09/2024
  5. Mbappe Aanza na Goli Mechi ya Kwanza UEFA Akiwa na Madrid
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo