Ratiba ya Mechi za Leo 10 Februari 2025 | Mechi za Leo Ligi Kuu Ya NBC
Vilabu mbalimbali leo vitashuka dimbani kushindania pointi muhimu katika ligi na mashindano tofauti duniani. Mashabiki wa soka Tanzania, hasa wa Ligi Kuu ya NBC, watakuwa na fursa ya kufuatilia mechi tatu muhimu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti. Hapa tumekuandalia ratiba kamili ya mechi za leo, ikijumuisha ligi kuu za Ulaya, mechi za kirafiki, na ligi za nyumbani.
Ligi Kuu ya NBC – Tanzania
Leo mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia kushuhudia burudani safi kutoka kwa timu zinazopambana katika Ligi Kuu ya NBC. Mechi zifuatazo zitatimua vumbi:
- KenGold vs Fountain Gate – Saa 14:00
- KMC vs Black Stars – Saa 16:15
- JKT Tanzania vs Young Africans – Saa 16:15
Serie A – Italia
Katika Serie A ya Italia, mabingwa wa kihistoria wa ligi hiyo, Inter Milan, watakuwa wenyeji wa Fiorentina. Mchezo huu utaanza saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
La Liga – Uhispania
Ligi kuu ya Uhispania itashuhudia mchezo kati ya:
- Mallorca vs Osasuna – Saa 23:00
FA Cup – England
Mashindano ya Kombe la FA nchini England yanaleta burudani nyingine ya kipekee. Leo, Doncaster watawakaribisha Crystal Palace katika mechi itakayopigwa saa 22:45.
Primeira Liga – Ureno
Katika Primeira Liga, Arouca watakiwasha dhidi ya Rio Ave katika mechi itakayoanza saa 23:15.
Süper Lig – Uturuki
Mashabiki wa ligi ya Uturuki watajionea mechi mbili za kusisimua:
- Trabzonspor vs Eyüp – Saa 20:00
- Bodrum vs Göztepe – Saa 20:00
Mapendekezo ya Mhariri:
- Viingilio Mechi ya JKT Tanzania Vs Yanga Leo 10/02/2025
- Matokeo ya JKT Tanzania Vs Yanga Leo 10/02/2025
- Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania Leo 10/02/2025
- Bao la Kaseke Laipa Pamba Ushindi Dhidi ya Azam FC
- Ushindi Dhidi ya Dodoma Jiji Wampa Jeuri Minziro
- Ngassa: Mechi dhidi ya Simba itakuwa ngumu, lakini tunajua pakupenya
- KenGold Yaahidi Kujifuta Machozi ya 6-1 Mbele ya Fountain Gate
- Ratiba ya Mechi za Tanzania (Taifa Stars) Afcon 2025
- CAF Yatangaza Ratiba Ya Fainali za Afcon 2025
- Droo ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2024/2025 Hatua ya 32 & 16 Bora
- Matokeo ya Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025
- CV ya Miloud Hamdi, Kocha Mpya wa Yanga 2025
Leave a Reply