Ratiba ya Mechi za Leo 09 September 2024

Ratiba ya Mechi za Leo 09 September 2024

Leo tarehe 9 Septemba 2024, mashabiki wa soka duniani kote wanatazamia michezo mbalimbali ya kukatanashoka kutoka michuano ya kimataifa na ya kikanda. Hii hapa ni orodha ya mechi za leo ambazo zitarindima katika viwanja tofauti Duniani.

Ratiba ya Mechi za Leo 09 September 2024

UEFA Nations League – Ulaya

Mashindano haya makubwa yanashuhudia timu bora za taifa kutoka barani Ulaya zikichuana kuwania taji la UEFA Nations League. Kwa siku ya leo, michezo ifuatayo itapigwa:

  • Ufaransa vs Ubelgiji – Saa 21:45 EAT
    Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kusisimua kati ya timu hizi mbili kongwe barani Ulaya.
  • Israeli vs Italia – Saa 21:45 EAT
    Israeli inatafuta ushindi dhidi ya Italia yenye nguvu katika kundi lao.
  • Cyprus vs Kosovo – Saa 19:00 EAT
    Kosovo itavaana na Cyprus huku zote zikilenga kupata pointi muhimu.
  • Romania vs Lithuania – Saa 21:45 EAT
    Romania inahitaji ushindi ili kuimarisha nafasi yao katika kundi lao.
  • Norway vs Austria – Saa 21:45 EAT
    Wenyeji Norway watajaribu kuwakabili Austria katika mchezo wa kundi la 3.
  • Slovenia vs Kazakhstan – Saa 21:45 EAT
    Slovenia watakutana na Kazakhstan katika pambano la kuvutia.
  • Montenegro vs Wales – Saa 21:45 EAT
    Wales watakuwa wageni wa Montenegro katika mechi inayotarajiwa kuwa kali.
  • Türkiye vs Iceland – Saa 21:45 EAT
    Türkiye watawakaribisha Iceland katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi.

Africa Cup of Nations – Kufuzu AFCON

Barani Afrika, timu mbalimbali zinaendelea kuwania nafasi katika mashindano ya AFCON 2025. Leo, mechi kadhaa muhimu za kufuzu zitachezwa:

  • Madagascar vs Comoros – Saa 19:00 EAT
    Madagascar na Comoros zote zinahitaji ushindi ili kuongeza nafasi zao za kufuzu.
  • Lesotho vs Morocco – Saa 21:00 EAT
    Morocco, mabingwa mara kadhaa wa Afrika, watamenyana na Lesotho.
  • Equatorial Guinea vs Togo – Saa 18:00 EAT
    Togo watachuana na Equatorial Guinea katika pambano la kuamua hatma yao kwenye kundi.
  • Niger vs Ghana – Saa 18:00 EAT
    Niger watakabiliana na Ghana, moja ya timu bora zaidi barani Afrika.
  • Angola vs Sudan – Saa 22:00 EAT
    Mechi kati ya Angola na Sudan itakuwa ya kuvutia, huku timu zote zikisaka pointi tatu muhimu.
  • Ethiopia vs Congo DR – Saa 22:00 EAT
    Timu hizi mbili zitakutana katika pambano la mwisho la kundi lao, ambalo litarindima usiku.
  • Uganda vs Congo – Saa 19:00 EAT
    Uganda watakuwa wenyeji wa Congo katika mechi muhimu ya kufuzu.
  • Burundi vs Senegal – Saa 16:00 EAT
    Burundi itachuana na Senegal, ambao wanatajwa kuwa miongoni mwa timu bora za Afrika.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Juma Mgunda Aondoka Simba Queens
  2. Kikosi cha Tanzania Taifa Stars vs Guinea 10 September 2024
  3. Wachezaji wa Kike wa Tanzania Wanaocheza Mpira Nje ya Nchi 2024
  4. Simba yaeka Marengo Ya CAF, Mo Dewji Arejea Kuongoza Mikakati
  5. CV ya Kocha Mpya Wa Azam Rachid Taoussi
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo