RATIBA ya Mechi za Leo 06 Februari 2025
Mashabiki wa mpira wa miguu leo tarehe 06 Februari 2025 wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka katika timu zao pendwa, huku ligi na mashindano mbalimbali yakiendelea kushika kasi. Siku hii inatarajiwa kuwa na mechi kali kutoka kwenye mashindano makubwa kama vile Serie A ya Italia, Kombe la Ligi ya England (League Cup), Coupe de France, Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano mengine ya kimataifa.
Serie A – Italia
- ⏰ 22:45 EAT – Fiorentina vs Inter Milan
EFL Cup – England
- ⏰ 23:00 EAT – Liverpool vs Tottenham
Coupe de France – Ufaransa
- ⏰ 23:00 EAT – Bourgoin vs Reims
Ligi Kuu Tanzania (NBC Premier League)
- ⏰ 14:00 EAT – Tanzania Prisons vs Mashujaa
- ⏰ 14:00 EAT – Dodoma Jiji vs Pamba
- ⏰ 16:15 EAT – Fountain Gate vs Simba SC
- ⏰ 19:00 EAT – Azam FC vs KMC
Mapendekezo ya Mhariri:
- CV ya Miloud Hamdi, Kocha Mpya wa Yanga 2025
- Kilichomuondoa Ramovic Yanga Hatimaye Chafichuka
- CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Robo Fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho
- Kikosi cha Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025
- Ratiba ya Mechi za Leo 05/02/2025
- Timu zilizofuzu 32 bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
- Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025
- Ratiba ya Mechi za Yanga February 2025
- Aliekua Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi Atua Al Nasr ya Libya
- Morocco Aweka Mikakati ya Ushindi dhidi ya Vigogo Ndani ya Kundi C AFCON 2025
- Simba SC Yajiandaa Vikali Kuisambaratisha Tabora United
Leave a Reply