Ratiba ya Mechi za Leo 04 September 2024

Ratiba ya Mechi za Leo 04 September 2024

Leo, tarehe 4 Septemba 2024, kuna mechi nyingi muhimu kutoka kwenye mashindano mbalimbali duniani. Hapa chini tumekuwekea ratiba kamili ya mechi hizo ili uweze kufuatilia kwa urahisi. Kwa wapenzi wa soka, ratiba hii ya michezo inatoa fursa ya kufurahia burudani ya mchezo pendwa duniani. Hakikisha hujapitwa na tukio lolote kwa kufuatilia matokeo na habari zote za michezo kwenye tovuti yetu.

Ratiba ya Mechi za Leo 04 September 2024

Kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika – Raundi ya 3

  • Sudan Dhidi ya Niger (16:00)
  • Comoros Dhidi ya Gambia (18:00)
  • Libya Dhidi ya Rwanda (19:00)
  • Tanzania Dhidi ya Ethiopia (19:00)

Mechi za Kimataifa za Kirafiki

  • Gibraltar Dhidi ya Andorra (19:00)
  • Lebanon Dhidi ya Tajikistan (11:30)
  • Malaysia Dhidi ya Philippines (16:00)

Kombe la FA England

  • Darlaston Town Dhidi ya Harborough (21:45)
  • Blyth Dhidi ya Campion (21:45)

Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA Wanawake

  • SFK 2000 Dhidi ya KÍ (12:00)
  • KuPS Dhidi ya Celtic (12:00)
  • Dinamo-BGU Dhidi ya Peamount (12:00)
  • PAOK Dhidi ya Kiryat Gat (13:00)
  • Vorskla Dhidi ya RFS (13:00)
  • Valur Dhidi ya Ljuboten (14:00)
  • Kazygurt Dhidi ya NSA (14:00)
  • Atl. Madrid Dhidi ya Rosenborg (14:00)
  • Paris Dhidi ya First Vienna (15:00)
  • Ajax Dhidi ya Kolos Kov (15:00)
  • Vllaznia Dhidi ya Lanchkhuti (17:00)
  • St. Pölten Dhidi ya Neftçi (17:00)
  • Mura Dhidi ya Glentoran (17:00)
  • Eintracht Dhidi ya Sporting (17:00)
  • Ferencváros Dhidi ya Flora (17:30)
  • SL Benfica Dhidi ya Nordsjælland (18:00)
  • Gintra Dhidi ya Anenii Noi (18:00)
  • Osijek Dhidi ya Spartak Myjava (18:00)
  • Mitrovica Dhidi ya Farul (18:00)
  • Anderlecht Dhidi ya Crvena zvezda (18:45)
  • Brøndby Dhidi ya Fiorentina (19:00)
  • Twente Dhidi ya Cardiff City (20:00)
  • Racing Dhidi ya Galatasaray (20:00)
  • Sparta Dhidi ya Linköping (20:00)
  • Servette Dhidi ya Pogoń (21:00)
  • Apollon Dhidi ya Pyunik (21:30)
  • Arsenal Dhidi ya Rangers (21:30)
  • Minsk Dhidi ya Breidablik (22:00)
  • Breznica Dhidi ya Birkirkara (22:15)

KNVB Beker Uholanzi

  • Juliana 31 Dhidi ya Geldrop (21:00)
  • DEM Dhidi ya Ajax Amateurs (21:00)
  • Gravenzande Dhidi ya RKAVV (21:00)
  • Hollandia Dhidi ya UDI (21:00)
  • EVV Dhidi ya Zwaluw (21:00)
  • TOGB Dhidi ya Noordwijk (21:00)
  • ASWH Dhidi ya SVBO (21:00)
  • Capelle Dhidi ya HSC 21 (21:00)
  • Gemert Dhidi ya Excelsior 31 (21:00)
  • Quick Dhidi ya UNA (21:00)
  • ADO 20 Dhidi ya DAW (21:00)
  • Winterswijk Dhidi ya BW ’34 (21:00)
  • Heerjansdam Dhidi ya Blauw Geel 38 (21:00)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids atangazwa Kocha Bora wa mwezi Agosti
  2. Ratiba ya Timu ya Taifa Wasichana U17 (Serengeti Girls) UNAF Tunisia 2024
  3. Ratiba YA Ligi Kuu Ya Zanzibar (Pbz Premier League) 2024/2025
  4. Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
  5. Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo