Ratiba ya Manchester United 2024/2025

Ratiba ya Manchester United 2024/2025 | Ratiba ya Mechi za Man U 2024/2025 | Ratiba ya Manchester Ligi Kuu

Msimu wa 2024/2025 umeanza rasmi na vilabu mbalimbali duniani vimeanza safari ya kuwania ubingwa wa makombe mbalimbali ya ndani na nje ya Uingereza. Manchester United msimu huu mpya watakua na jukumu la kurudisha heshima yao baada ya misimu yenye matokeo mabovu mfululizo. Mashabiki wa klabu hii maarufu duniani, wanatarajia kuona timu yao ikishindana kwa hali na mali katika michuano mbalimbali kama vile Ligi Kuu ya England, Carabao Cup, na UEFA Europa League. Katika makala hii, tutaangazia ratiba kamili ya Manchester United kwa msimu wa 2024/2025, ikijumuisha tarehe, muda, na mashindano.

Ratiba ya Manchester United 2024/2025

Ratiba ya Manchester United 2024/2025

Septemba, 2024

  • Jumamosi, 14 Sep: Southampton vs Manchester United – 2:30 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumanne, 17 Sep: Manchester United vs Barnsley – Saa ya kuangaliwa – Kombe la Carabao
  • Jumamosi, 21 Sep: Crystal Palace vs Manchester United – 7:30 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumatano, 25 Sep: Manchester United vs FC Twente – 10:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumapili, 29 Sep: Manchester United vs Tottenham Hotspur – 6:30 PM – Ligi Kuu ya England

Oktoba, 2024

  • Alhamisi, 3 Okt: FC Porto vs Manchester United – 10:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumapili, 6 Okt: Aston Villa vs Manchester United – 4:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 19 Okt: Manchester United vs Brentford – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 24 Okt: Fenerbahce vs Manchester United – 10:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumapili, 27 Okt: West Ham United vs Manchester United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England

Novemba, 2024

  • Jumamosi, 2 Nov: Manchester United vs Chelsea – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 7 Nov: Manchester United vs PAOK Salonika – 11:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumamosi, 9 Nov: Manchester United vs Leicester City – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 23 Nov: Ipswich Town vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 28 Nov: Manchester United vs Bodo/Glimt – 11:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumamosi, 30 Nov: Manchester United vs Everton – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England

Desemba, 2024

  • Jumanne, 3 Des: Arsenal vs Manchester United – 10:45 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 7 Des: Manchester United vs Nottingham Forest – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 12 Des: Viktoria Plzen vs Manchester United – 8:45 PM – UEFA Europa League
  • Jumamosi, 14 Des: Manchester City vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 21 Des: Manchester United vs AFC Bournemouth – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 26 Des: Wolverhampton Wanderers vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumapili, 29 Des: Manchester United vs Newcastle United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England

Januari, 2025

  • Jumamosi, 4 Jan: Liverpool vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumatano, 15 Jan: Manchester United vs Southampton – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 18 Jan: Manchester United vs Brighton & Hove Albion – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 23 Jan: Manchester United vs Rangers – 11:00 PM – UEFA Europa League
  • Jumamosi, 25 Jan: Fulham vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Alhamisi, 30 Jan: FCSB vs Manchester United – 11:00 PM – UEFA Europa League

Februari, 2025

  • Jumamosi, 1 Feb: Manchester United vs Crystal Palace – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 15 Feb: Tottenham Hotspur vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 22 Feb: Everton vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumatano, 26 Feb: Manchester United vs Ipswich Town – 11:00 PM – Ligi Kuu ya England

Machi, 2025

  • Jumamosi, 8 Mach: Manchester United vs Arsenal – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 15 Mach: Leicester City vs Manchester United – 6:00 PM – Ligi Kuu ya England

Aprili, 2025

  • Jumanne, 1 Apr: Nottingham Forest vs Manchester United – 9:45 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 5 Apr: Manchester United vs Manchester City – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 12 Apr: Newcastle United vs Manchester United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 19 Apr: Manchester United vs Wolverhampton Wanderers – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 26 Apr: AFC Bournemouth vs Manchester United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England

Mei, 2025

  • Jumamosi, 3 Mei: Brentford vs Manchester United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumamosi, 10 Mei: Manchester United vs West Ham United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumapili, 18 Mei: Chelsea vs Manchester United – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England
  • Jumapili, 25 Mei: Manchester United vs Aston Villa – 5:00 PM – Ligi Kuu ya England

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ten Hag Asisitiza Manchester United Yalenga Mataji Licha ya Mwanzo Mbaya
  2. ‘Huu ni Msimu Wangu wa Mwisho Liverpool’ – Mohamed Salah
  3. Mohamed Salah Awaongoza Liverpool Kuizamisha Manchester United
  4. Mbappe Avunja Ukame wa Magoli, Afunga Bao Lake La Kwanza La Liga
  5. Ratiba ya Mechi za Leo Septemba 02 2024
  6. Azam FC Katika Mbio za Kumsajili Kocha Florent Ibenge wa Al-Hilal
  7. Mgunda Atajwa Kuchukua Mikoba ya Zahera Namungo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo