Ratiba Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

Ratiba Ligi Kuu ya Wanawake TWPL 2024 2025

Ratiba Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 (Tanzania Women’s Premier league Fixture 2024/25)

Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) unaanza rasmi oktoba 9 2024, ambapo mabingwa watetezi, Simba Queens, wataanza kampeni yao ya kutetea ubingwa kwa kupimana nguvu na Mlandizi Queens katika uwanja wa KMC, Dar es Salaam. Huu ni mwanzo wa msimu mwingine unaotarajiwa kua na burudani kubwa ya soka la wanawake, ambapo timu 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania zinashiriki, zikitoa burudani ya hali ya juu kwa mashabiki na kuendelea kuimarisha michezo ya wanawake nchini.

Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

Katika msimu huu, timu zinazoshiriki zinatoka mikoa tofauti ikiwemo Mara, Mwanza, Dodoma, Iringa, na Dar es Salaam. Timu zilizopo kwenye ligi ni pamoja na:

  1. Simba Queens (Dar es Salaam)
  2. Yanga Princess (Dar es Salaam)
  3. Fountain Gate Princess (Dodoma)
  4. JKT Queens (Dar es Salaam)
  5. Mashujaa Queens (Kigoma)
  6. Ceasiaa Queens (Iringa)
  7. Alliance Girls (Mwanza)
  8. Bunda Queens (Mara)
  9. Gets Program (Dodoma)
  10. Mlandizi Queens (Pwani)

Kila timu ina lengo moja kuu; kuwa bingwa wa ligi na kupata nafasi ya kuwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kimataifa.

Ratiba Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

Msimu huu wa ligi kuu ya wanawake Tanzania utakuwa na jumla ya raundi 18, ambazo zitaendelea hadi katikati ya mwaka 2025. Raundi ya kwanza ya ligi inaanza rasmi tarehe 9 Oktoba 2024, na mechi zifuatazo zitachezwa:

Ratiba Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

09/10/2024

  • Simba Queens dhidi ya Mlandizi Queens katika Uwanja wa KMC, 4:00 pm
  • Alliance Girls dhidi ya JKT Queens katika Uwanja wa CCM Kirumba, 4:00 pm
  • Mashujaa Queens dhidi ya Gets Program katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 4:00 pm
  • Fountain Gate Princess dhidi ya Ceasiaa Queens katika Uwanja wa Jamhuri, 4:00 pm
  • Bunda Queens dhidi ya Yanga Princess katika Uwanja wa Karume, 4:00 pm

14/10/2024

  • Bunda Queens dhidi ya JKT Queens katika Uwanja wa Karume, 4:00 pm
  • Mlandizi Queens dhidi ya Gets Program katika Kituo cha TFF Kigamboni, 4:00 pm
  • Simba Queens dhidi ya Fountain Gate Princess katika Uwanja wa KMC, 4:00 pm
  • Mashujaa Queens dhidi ya Ceasiaa Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 4:00 pm
  • Alliance Girls dhidi ya Yanga Princess katika Uwanja wa CCM Kirumba, 4:00 pm

05/11/2024

  • Gets Program dhidi ya Bunda Queens katika Uwanja wa Tanzanite Kwara, 4:00 pm
  • Yanga Princess dhidi ya Mashujaa Queens katika Uwanja wa KMC, 4:00 pm
  • Ceasiaa Queens dhidi ya Simba Queens katika Uwanja wa Samora, 4:00 pm
  • JKT Queens dhidi ya Mlandizi Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 4:00 pm
  • Fountain Gate Princess dhidi ya Alliance Girls katika Uwanja wa Jamhuri, 4:00 pm

12/11/2024

  • Fountain Gate Princess dhidi ya Bunda Queens katika Uwanja wa Jamhuri, 4:00 pm
  • Gets Program dhidi ya Alliance Girls katika Uwanja wa Tanzanite Kwara, 4:00 pm
  • JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 4:00 pm
  • Ceasiaa Queens dhidi ya Mlandizi Queens katika Uwanja wa Samora, 4:00 pm

13/11/2024

  • Yanga Princess dhidi ya Simba Queens katika Uwanja wa KMC, 4:00 pm

19/11/2024

  • Fountain Gate Princess dhidi ya Yanga Princess katika Uwanja wa Jamhuri, 4:00 pm
  • JKT Queens dhidi ya Ceasiaa Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 4:00 pm
  • Bunda Queens dhidi ya Mlandizi Queens katika Uwanja wa Karume, 4:00 pm
  • Alliance Girls dhidi ya Mashujaa Queens katika Uwanja wa CCM Kirumba, 4:00 pm
  • Simba Queens dhidi ya Gets Program katika Uwanja wa KMC, 4:00 pm

10/12/2024

  • Mashujaa Queens dhidi ya Fountain Gate Princess katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 04:00 pm
  • Mlandizi Queens dhidi ya Yanga Princess katika Kituo cha TFF Kigamboni, 04:00 pm
  • Alliance Girls dhidi ya Bunda Queens katika Uwanja wa CCM Kirumba, 04:00 pm
  • Gets Program dhidi ya Ceasiaa Queens katika Uwanja wa Tanzanite Kwara, 04:00 pm
  • Simba Queens dhidi ya JKT Queens katika Uwanja wa KMC, 04:00 pm

17/12/2024

  • Mashujaa Queens dhidi ya Simba Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 04:00 pm
  • Ceasiaa Queens dhidi ya Bunda Queens katika Uwanja wa Samora, 04:00 pm
  • Mlandizi Queens dhidi ya Alliance Girls katika Kituo cha TFF Kigamboni, 04:00 pm
  • Gets Program dhidi ya Fountain Gate Princess katika Uwanja wa Tanzanite Kwara, 04:00 pm
  • Yanga Princess dhidi ya JKT Queens katika Uwanja wa KMC, 04:00 pm

23/12/2024

  • Fountain Gate Princess dhidi ya JKT Queens katika Uwanja wa Jamhuri, 04:00 pm
  • Alliance Girls dhidi ya Ceasiaa Queens katika Uwanja wa CCM Kirumba, 04:00 pm
  • Bunda Queens dhidi ya Simba Queens katika Uwanja wa Karume, 04:00 pm
  • Mashujaa Queens dhidi ya Mlandizi Queens katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 04:00 pm
  • Yanga Princess dhidi ya Gets Program katika Uwanja wa KMC, 04:00 pm

27/12/2024

  • Simba Queens dhidi ya Alliance Girls katika Uwanja wa KMC, 04:00 pm
  • Bunda Queens dhidi ya Mashujaa Queens katika Uwanja wa Karume, 04:00 pm
  • Ceasiaa Queens dhidi ya Yanga Princess katika Uwanja wa Samora, 04:00 pm
  • Mlandizi Queens dhidi ya Fountain Gate Princess katika Kituo cha TFF Kigamboni, 04:00 pm
  • JKT Queens dhidi ya Gets Program katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, 04:00 pm

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025
  2. Ratiba YA Ligi Kuu Ya Zanzibar (Pbz Premier League) 2024/2025
  3. Ratiba Ya Simba Kombe la Shirikisho CAF Confederation Cup 2024/2025
  4. Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
  5. Ratiba ya yanga Klabu Bingwa CAF 2024/2025
  6. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo