Pot za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025

Pot za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025

Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation CUP) msimu wa 2024/2025 imefika patamu baada ya kukamilika kwa hatua ya awali. Timu bora za soka kut0ka nchi mbalimbali barani Afrika zilizofanikiwa kuvuka hatua hii sasa zinajiandaa kwa hatua ngumu zaidi ya makundi, ambayo inatazamiwa kuleta burudani ya kipekee kwa mashabiki wa soka.

Droo ya kupanga mechi za makundi inatarajiwa kufanyika tarehe 7 Oktoba 2024, huku timu zikisubiri kujua wapinzani wao watakaokutana nao katika safari ya kuwania ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Timu zinazoshiriki hatua ya makundi kombe la shirikisho zimepangwa katika POT nne, kulingana na viwango vyao vya ubora. Hapa chini ni orodha ya POT za Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2024/2025:

Pot za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025

Pot 1:

  • 🇪🇬 Zamalek
  • 🇲🇦 RS Berkane
  • 🇹🇿 Simba SC
  • 🇩🇿 USM Alger

Pot 2:

  • 🇨🇮 ASEC Mimosas
  • 🇲🇱 Stade Malien
  • 🇪🇬 Al Masry
  • 🇹🇳 CS Sfaxien

Pot 3:

  • 🇳🇬 Enyimba
  • 🇸🇳 ASC Jaraaf

Timu zisizo kwenye Rank za CAf

  • 🇩🇿 CS Constantine
  • 🇦🇴 Bravos do Maquis
  • 🇦🇴 Lunda Sul
  • 🇧🇼 Orapa United
  • 🇲🇿 Black Bulls
  • 🇿🇦 Stellenbosch

CAF watachagua timu 2 kutoka timu zisizo kwenye rank na kuziongeza katika POT ya 3.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Pot za Makundi ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
  2. Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  3. Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
  4. Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
  5. CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Ya Makundi 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo