Picha za Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025

Picha za Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025

Klabu ya Pamba Jiji Fc ya Jijini Mwanza inayoshiriki michuano ya ligki kuu ya NBC Tanzania leo imezindua rasmi zao mpya ambazo zitatumika msimu wa 2024/2025. Jezi watakazo vaa Pamba Fc msimu huu wa 2024/2025 ni za kijani kwa michezo ya nyumbani, jezi ya ugenini ni rangi nyeupe na jezi ya tatu rangi ya blue bahari.

Picha za Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025

Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025 Ugenini

Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025 Ugenini

Jezi ya Tatu Pamba Fc 2024/2025

Jezi ya Tatu Pamba Fc 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ishu ya Joshua Mutale na Jezi ya Kombe la Shirikisho CAF
  2. Picha za Jezi Mpya za Dodoma Jiji 2024/2025
  3. Picha za Jezi Mpya za Taifa Stars 2024/2025
  4. Manuel Ugarte Apewa Jezi Namba 25 ya Man United, Jezi ya Zamani ya Jadon Sancho
  5. Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Namungo Fc 2024/2025
  6. Hizi apa Picha za Jezi Mpya ya KMC Fc 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo