Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira Mpya za Uhamiaji 2024
Maombi ya Ajira Mpya ya Idara ya Uhamiaji yamefunguliwa rasmi kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji ametangaza nafasi hizi kwa mujibu wa Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka 2018. Kwa mujibu wa tangazo rasmi la ajira lililotolewa, mwisho wa kutuma maombi kwa vijana wote waliokidhi vigezo umewekwa kuwa tarehe 13 Desemba 2024, na zoezi hili linafanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji.
Tarehe Muhimu Kuhusu Ajira Mpya jeshi la Uhamiaji
- Kuanzia: 29 Novemba 2024
- Mwisho: 13 Desemba 2024
Mapendekezo ya Mhariri:
- Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal (e-recruitment.immigration.go.tz)
- Nafasi Mpya za kazi Jeshi la Uhamiaji November 2024
- Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 30 November 2024
- Nafasi Mpya za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Novemba 2024
- Nafasi 3 za Kazi ya Dereva Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi | Mwisho 06 November 2024
- Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za Walimu 2024 MDAs & LGAs
Leave a Reply