Muonekano wa Kombe La CRDB Federation Cup 2023/2024 | Picha Za Kombe Jipya la Shirikisho CRDB 2024
Bank ya CRDB ambae ni mzamini mpya wa kombe la FA ambalo lilikua likijulikana kama Kombe la shirikisho la Azam (Azam Federation Cup) imeweka hadharani picha za kombe la shirikisho ambalo litakabidhiwa kwa mshini wa mashindano ya michuano ya shirikisho 2024.
Picha za kombe hilo zimezua mijadala mingi katika mitandao ya kijammii ambapo wengi waneshindwa kuzuia furaha zao kutokana na muundo mzuri wa kombe ilo. Kombe la CRDB federation cup litabebwa na bingwa atakae patikana katika mchezo wa fainali utakaochezeka june 2 ambapo mabingwa wa Ligi kuu ya NBC Tanzania, Yanga Sc wakichuana vikali na Azam Fc katik fainali itakayochezeka Zanzibar katika uwanja wa katika uwanja wa New Amaan.
Huyu hapa huyu 🏆 anangáa 💫
Kutoka kileleni mwa mlima Kilimanjaro ⛰️hadi mbuga mashuhuri ya Ngorongoro 🐘 na baada ya hapo moja kwa moja hadi mgodini Geita zilipojificha dhahabu. Mabibi na Mabwana, na hili ndio kombe rasmi la CRDB Bank Federation Cup ambalo Jumapili hii lipata… pic.twitter.com/t59Fx5P9mW
— CRDB Bank PLC (@CRDBBankPlc) May 30, 2024
Muonekano wa Kombe La CRDB Federation Cup 2023/2024
Kombe jipya la CRDB Federation Cup lina muundo wa kisasa na wa kuvutia. Limesheheni alama zinazoashiria utamaduni wa soka nchini Tanzania, pamoja na nembo ya CRDB inayoonyesha ushirikiano mpya kati ya benki na shirikisho la soka. Ubunifu huu wa kipekee unaakisi thamani na hadhi ya mashindano haya makubwa ya soka nchini.
Picha Za Kombe Jipya la Shirikisho CRDB 2024
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Harry Kane Ndio Mshindi wa Kiatu cha Dhahabu Ulaya 2023-2024
- Timu Inayoongoza kwa Magoli Ligi Kuu Ya NBC 2023/2024
- Timu zilizopanda Daraja Ligi Kuu ya England EPL 2024/2025
- Picha Za Parade ya Yanga SC Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24
- Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
- Timu zitakazo shiriki CECAFA kagame Cup 2024
- Guardiola Ashinda Tuzo Ya Kocha Bora EPL 2023/2024
Leave a Reply