Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024 | Msimamo wa Kundi A Ligi Ya Vijana Tanzania & Msimamo wa Kundi B NBC U20 Premier league 2023/2024
Ligi ya Vijana ya NBC U20 Premier League 2023/2024 imezidi kushika kasi, huku vipaji vibichi vya soka la Tanzania vikiendelea kujipambanua katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Ligi hii, ambayo ni chemchem ya wachezaji nyota wa kesho katika ulimwengu wa soka Tanzania, imekuwa ikitoa msisimko wa hali ya juu, ikiwa na ushindani mkali kati ya timu shiriki.
Msimu huu wa 2023/2024 umekuwa wa kipekee, huku timu kadhaa zikionyesha uwezo mkubwa na kuwashangaza wengi. Katika makala haya, tutaangazia msimamo wa sasa wa ligi ya vijana U20.
Huu Apa Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024
Msimamo wa Kundi A Ligi Ya Vijana | |||||||||
NO | TEAMS | P | W | D | L | GF | GA | GD 1 | Â PTS |
1 | SIMBA SC | 2 | 2 | 0 | 0 | 3 | 0 | 3 | 6 |
2 | DOOMA JIJI | 2 | 1 | 0 | 1 | 1 | 1 | 0 | 3 |
3 | JKT TANZANIA | 2 | 0 | 1 | 1 | 3 | 4 | -1 | 1 |
4 | _IHEFU FC | 2 | 0 | 1 | 1 | 3 | 5 | -2 | 1 |
Msimamo wa Kundi B Ligi Ya Vijana | |||||||||
NO | TEAMS | P | W | D | L | GF | GA | GD | PTS |
1 | AZAM FC | 2 | 1 | 1 | 0 | 3 | 2 | 1 | 4 |
2 | KAGERA SUGAR | 2 | 1 | 1 | 0 | 2 | 1 | 1 | 4 |
3 | COASTAL UNION | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 | 2 | -1 | 1 |
4 | GEITA GOLD | 2 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 | -1 | 1 |
Ligi Nyingine:
Leave a Reply