Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024/2025

Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024 2025

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024/2025 | Msimamo wa Ligi ya Championship Tanzania 2024/2025

Ligi Daraja la Kwanza Tanzania, almaharufu kama NBC Championship, imeanza kwa kishindo msimu wa 2024/2025. Timu 16 zinapambana vikali kuwania nafasi ya kupanda daraja na kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao.

Msimu huu umeanza kwa moro na unaendelea kua msimu wa kipekee kutokana na ubora wa vilabu vinavyoshiriki, huku timu zikionyesha uwezo mkubwa na ushindani mkali. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kuwa ligi itaendelea hadi tarehe 10 Mei 2025. Katika michezo ya mwanzo ya ligi, timu kadhaa zimeanza kuonyesha nia ya dhati ya kutawala ligi baada ya kuanza kwa kugawa dozi kwa wapinzani wao. Hapa habariforum tutakupa taariza kamili kuhusu hali ya msimamo wa ligi hii.

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024/2025

Msimamo Ligi Daraja la Kwanza 2024/2025

Nafasi

TimuPWDLGFGAGDPts
1Mtibwa Sugar33006069
2Songea United33006249
3Stand United33003039
4TMA32102027
5Biashara UTD32012116
6Geita Gold31204135
7Mbuni31112204
8Bigman311134-14
9Mbeya City311134-14
10Polisi Tanzania31023213
11Mbeya Kwanza310223-13
12Green Warriors310213-23
13A.Sports301224-21
14Cosmopolitan301214-31
15Transit Camp300305-50
16Kiluvya300305-50

Angalia Pia

  1. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League
  2. Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026
  3. Msimamo Makundi ya EURO 2024
  4. Msimamo Wa Ligikuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
  5. Msimamo Wa Ligikuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo