Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025 | Matokeo ya NBC Premier league 2024/2025

Baada ya kusubiliwa kwa muda, Hatimaye michuano ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025 inakaribia kutimua vumbi rasmi Agosti 16 ambapo mashabiki wataanza msimu mpya kwa kushuhudia mtanange baina ya Pamba jiji na Tanzania Prisons utakao chezeka katika dimba la CCM kirumba Mwanza. Michezo mingine ya ligi itaendelea tarehe 17 ambapo Mashujaa Fc watacheza na Dodoma jiji uku Namungo watacheza dhidi ya Fountain Gate. Agosti 18, wekundu wa msimbazi simba wataoneshana ubabe na Tabora United wakati kengold Fc wakikichapa dhidi ya Singida Bs. Hapa tutakuletea Matokeo Ya mechi zote za Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Tarehe Nyumbani Matokeo Ugenini Mda Uwanja
August 16, 2024 Pamba Jiji VS Tanzania Prisons 16:00 CCM Kirumba
August 17, 2024 Mashujaa FC VS Dodoma Jiji 16:00
Lake Tanganyika
August 17, 2024 Namungo FC VS Fountain Gate 19:00
Majaliwa Stadium
August 18, 2024 KenGold FC VS Singida BS 14:00
Sokoine Stadium
August 18, 2024 Simba SC VS Tabora United 16:15 KMC Complex
August 28, 2024 JKT Tanzania VS Azam FC 16:00
Mej. Jen. Isamuhyo
August 29, 2024 KMC FC VS Coastal Union 16:00 KMC Complex
August 29, 2024 Kagera Sugar VS Young Africans 19:00 Kaitaba Stadium
August 23, 2024 Mashujaa FC VS Tanzania Prisons 16:00
Lake Tanganyika
August 24, 2024 Pamba Jiji VS Dodoma Jiji 16:00 CCM Kirumba
August 24, 2024 Kagera Sugar VS Singida BS 19:00 Kaitaba Stadium
August 25, 2024 Simba SC VS Fountain Gate 16:00 KMC Complex
August 25, 2024 Namungo FC VS Tabora United 19:00
Majaliwa Stadium
September 25, 2024 JKT Tanzania VS Coastal union 14:00
Mej. Jen. Isamuhyo
September 25, 2024 KenGold FC VS Young Africans 16:15
Sokoine Stadium
September 26, 2024 KMC FC VS Azam FC 16:00 KMC Complex

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
  2. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
  3. Ratiba ya Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
  4. Mshindi wa MVP Ligi Kuu Tanzania Bara NBC 2023/2024 Amepatikana
  5. Orodha ya Makocha Timu za Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
  6. Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo