Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 Mikoa Mbalimbali

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali) | Majina Ya Interview Ajira Za Ualimu 2025 | Majina ya walimu walioitwa kwenye usaili 2025 pdf

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)

Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi majina ya waombaji walioitwa kushiriki usaili wa nafasi za kazi za ualimu kwa mwaka 2025. Tangazo hili limekuja kama sehemu ya mchakato wa ajira za walimu 14,648 zilizotangazwa awali. Idadi ya waombaji walioonyesha nia ya kuajiriwa ni 201,707, hali inayodhihirisha ushindani mkubwa katika mchakato huu wa ajira.

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, ametangaza kuwa usaili huu utafanyika kuanzia tarehe 14 Januari, 2025 hadi tarehe 24 Februari, 2025. Usaili umegawanywa katika hatua mbili kuu ambazo ni usaili wa kuandika na usaili wa mahojiano kwa wale watakao faulu usaili wa kuandika, na utahusisha vituo vilivyotengwa katika mikoa mbalimbali.

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)
majina ya walimu walioitwa kwenye usaili 2025 pdf

Vituo Vilivyotengwa Kwa Ajili ya Usaili Wa Kada Za Ualimu 2025 Mikoa Mbalimbali

Majina ya walioitwa kwenye usaili kada ya Ualimu 2025 yamepangwa kwa kuzingatia kada na mikoa wanakotakiwa kufanya usaili. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya mikoa pamoja na vituo vilivyo tangazwa kutumika kwa ajili ya usaili:

Mkoa wa Mtwara

  • Usaili wa Kuandika: Tanzania Institute of Accountancy – Mtwara Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Ufundi – Mtwara

Mkoa wa Mwanza

  • Usaili wa Kuandika: Butimba Teachers’ College & Institute of Rural Development Planning (IRDP) – Mwanza Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Alliance English Medium – Mahina Mwanza

Mkoa wa Njombe

  • Usaili wa Kuandika: Shule ya Sekondari Njombe
  • Usaili wa Mahojiano: Shule ya Sekondari Njombe

Mkoa wa Pwani

  • Usaili wa Kuandika: Whipahs Education Centre (Karibu na Mizani ya zamani)
  • Usaili wa Mahojiano: Kituo cha Elimu cha Wipahs

Mkoa wa Rukwa

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Ualimu Sumbawanga – Pito
  • Usaili wa Mahojiano: Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) – Muva

Mkoa wa Ruvuma

  • Usaili wa Kuandika: Songea Teachers’ College, Songea Girls’ Secondary School & Open University of Tanzania – Songea Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Songea

Mkoa wa Shinyanga

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Ushirika Moshi (MUCoBS) – Kampasi ya Shinyanga, eneo la Kizumbi
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Shycom

Mkoa wa Kilimanjaro

  • Usaili wa Kuandika na Mahojiano: Chuo cha Ushirika Moshi (MOCU)

Mkoa wa Lindi

  • Usaili wa Kuandika: Shule ya Sekondari WAMA Sharaf – Mitwero
  • Usaili wa Mahojiano: Shule ya Sekondari WAMA

Mkoa wa Manyara

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Uhasibu Arusha – Kampasi ya Babati
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Uhasibu Arusha – Kampasi ya Babati

Mkoa wa Mara

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare – Musoma
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare – Musoma

Mkoa wa Mbeya

  • Usaili wa Kuandika: Catholic University of Mbeya (CUoM)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

Mkoa wa Morogoro

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) – Moringe Sokoine Campus (Jengo la Maabara Jumuishi)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Mkoa wa Arusha

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

Mkoa wa Dar es Salaam

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Usafirishaji (NIT), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DSM (DUCE)
  • Usaili wa Mahojiano: Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni

Mkoa wa Dodoma

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
  • Usaili wa Mahojiano: Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), eneo la Dr. Asha Rose Migiro

Ratiba Ya Usaili Wa Kada Za Ualimu 2025

Kada Tarehe Usaili Wa Mchujo Usaili Wa Mahojiano
Mwalimu Daraja La Iii B – Hisabati (Mathematics) Hakuna 14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Hisabati (Mathematics) Hakuna 14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Fizikia (Physics) Hakuna 14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Fizikia (Physics) Hakuna 15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kiingereza (English) Hakuna 15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Fasihi Ya Kiingereza (English Literature) Hakuna 15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Ushonaji (Textile) Hakuna 15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kilimo (Agriculture) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kifaransa (French) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Lishe (Food And Human Nutrition) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kifaransa (French) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Somo La Biashara (Bookeeping) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Biashara (Bookkeeping) Hakuna 16 Januari,2025
Fundi Sanifu Maabara Ya Shule Daraja La Ii (School Laboratory Technician Ii) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Biashara (Commerce) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Elimu Maalum Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Somo La Biashara (Commerce) Hakuna 16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii A – Elimu Maalum Hakuna 16 Januari, 2025
Walimu Wa Amali Na Biashara Hakuna 17 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iiia 18 Januari, 2025 21 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii A – Elimu Ya Awali 22 Januari, 2025 24 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Jiografia (Geography) 22 Januari,2025 24 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Baiolojia (Biology) 22 Januari, 2025 24 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Tehama (Information And Communication Technology) 22 Januari, 2025 24 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kemia (Chemistry) 22 Januari, 2025 24 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kiswahili 25 Januari, 2025 28 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Shule Ya Msingi 29 Januari, 2025 31 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Elimu Ya Awali 29 Januari, 2025 31 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kiswahili 29 Januari, 2025 31 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Historia (History) 29 Januari, 2025 31 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Uraia (Civics) 29 Januari, 2025 31 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Jiografia (Geography) 01 Februari,, 2025 04 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Tehama (Information And Communication Technology) 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Uchumi (Economics) 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Shule Ya Msingi 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Elimu Maalum 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Uraia (Civics) 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kilimo (Agriculture) 05 Februari, 2025 07 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Historia (History) 08 Februari, 2025 11 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kemia (Chemistry) 12 Februari, 2025 14 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kiingereza (English) 15 Februari, 2025 18 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Fasihi Ya Kiingereza (English Literature) 19 Februari, 2025 21 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iiic (Baiolojia) 22 Februari, 2025 24 Februari, 2025

Angalia Hapa Majina ya walimu walioitwa kwenye usaili 2025 pdf (Mikoa Mbalimbali)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025
  2. Ajira Portal | Ajira Mpya za Walimu December 2024
  3. Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal (Immigration Recruitment Portal)
  4. Nafasi za Kazi Benki Kuu ya Tanzania BOT December 2024
  5. Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Uhamiaji
  6. Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 30 November 2024
  7. Jinsi ya Kutuma Maombi ya Kazi Uhamiaji Kupitia Immigration Recruitment Portal
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo