Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Dar es salaam, Usaili wa Uandikishaji wa wapiga kura NEC dar es salaam INEC, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni-Bvr, Temeke, Kigamboni, Ubungo-Mc & Ilala

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (National Electoral Commission – NEC) imetangaza rasmi orodha ya waombaji wa nafasi mbalimbali waliochaguliwa kuhudhuria katika hatua ya usaili kwa ajili ya ajira za muda zilizotangazwa. Usaili huu unahusu waombaji kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025.

NEC imesisitiza kuwa usaili huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa watumishi wa muda waliochaguliwa wanakidhi vigezo vya kazi wanazotarajiwa kufanya. Orodha ya walioitwa inajumuisha waombaji kutoka wilaya zote za Dar es Salaam, ikiwemo Ilala, Temeke, Kinondoni, Ubungo, na Kigamboni.

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2025 Mkoa wa Dar es Salaam Pdf

Bofya jina la wilaya hapa chini kupakua pdf yenye majina ya walioitwa kwenye usaili NEC kwa wilaya hiyo

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Antony Afutiwa Kadi Nyekundu, Sasa Ruksa Kuivaa Madrid
  2. Mfano wa Barua Ya Maombi ya Kazi Jeshi la Zimamoto 2025
  3. Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (Zimamoto Ajira Portal)
  4. Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto 2025
  5. Majina ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu Kada Mbalimbali 2025
  6. Mfumo wa Kutuma Maombi ya Ajira TRA (TRA recruitment Portal Login)
  7. Mwisho wa Kutuma Maombi Nafasi za Kazi TRA Februari 2025
  8. Nafasi za Kazi Ualimu MDAs NA LGAs February 2025
  9. Nafasi za Kazi TRA Februari 2025: Ajira Zaidi ya 1000 kwa Fani Mbalimbali
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo