Majina Ya Walioitwa Kazini Wizara Ya Afya Oktoba 18, 2024

Majina Ya Walioitwa Kazini Wizara Ya Afya Oktoba 18 2024

Majina Ya Walioitwa Kazini Wizara Ya Afya Oktoba 18, 2024 | Majina Ya Waliopata Ajira Kada Ya Afya Oktoba 18, 2024

Majina Ya Walioitwa Kazini Wizara Ya Afya Oktoba 18, 2024

Wizara ya Afya, kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imetangaza orodha ya majina ya waombaji kazi waliofanikiwa katika usaili uliofanyika kati ya Mei 11, 2024, na Septemba 12, 2024. Orodha hii inajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao sasa wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kuibuka.

Tangazo hili linawahusu wahitimu waliotuma maombi yao kupitia mchakato wa ajira ya umma na waliofanikiwa kupangiwa nafasi ndani ya Wizara ya Afya. Katika orodha hii, imetolewa maelekezo muhimu kwa walengwa kuhusu hatua za kuchukua baada ya kupata barua za kupangiwa vituo vya kazi.

Jinsi ya Kuchukua Barua za Kupangiwa Kituo cha Kazi

Waombaji waliofaulu wanapaswa kuchukua barua zao za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo (Oktoba 18, 2024). Wale ambao hawatachukua barua zao ndani ya muda huu, barua hizo zitatumwa kupitia anuani zao za posta.

Taarifa Kuhusu Kuripoti kwa Mwajiri

Waombaji waliofanikiwa wanapaswa kuripoti kwa mwajiri katika muda uliotajwa kwenye barua zao wakiwa na vyeti halisi vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili kufanyiwa uhakiki kabla ya kupewa barua rasmi ya ajira. Wahusika wanatakiwa kuhakikisha wanapata uthibitisho kutoka kwa mwajiri ili kuanza majukumu yao.

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, wanashauriwa kuendelea kufuatilia fursa nyingine za ajira zitakapotangazwa na Sekretarieti ya Ajira. Ni vyema kuendelea kujituma na kuomba nafasi za kazi pale zinapotangazwa.

Vitambulisho Vinavyokubalika Wakati wa Kuchukua Barua

Wakati wa kwenda kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi, waombaji wanapaswa kubeba kitambulisho cha utambulisho miongoni mwa vifuatavyo:

  • Kitambulisho cha Uraia (NIDA)
  • Hati ya kusafiria
  • Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
  • Leseni ya Udereva

Majina Ya Walioitwa Kazini Wizara Ya Afya Oktoba 18, 2024

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya

Katika orodha hii, kuna majina ya waombaji walioteuliwa kazini katika kada mbalimbali ndani ya Wizara ya Afya. Baadhi ya nafasi zilizotolewa ni za Afisa Muuguzi Daraja la II na Mtaalam wa Dawa Daraja la II. Orodha kamili ya majina ya walioitwa kazini kwa nafasi hizo imetolewa hapa chini.

Majina Ya Waliopata Ajira Kada Ya Afya Nafasi ya Afisa Muuguzi Daraja la II Oktoba 18, 2024

Moses Simon KatinaNyanda Onesmo Daniel
Valester Henrick HangaHamudi Habibu Ngozi
Elisha Gerard KamongaGetruda Simon Mange
Nicholaus Emmanuel ShijaMussa Zabaliga Kuzelenga
Siti Rupia RupiaAlen Jonas Felix
Rabeka Daudi NkambakuuRebeca Joseph Severua
Richard Paschal MjuziBraison Albert Kivangavanga
Pius Samwel MwanduSylvester Julius Luswetula
Emilyo Alexander MnyanyiIsack Samwel Kasanda
Lulu Eliud KalingaMillo Mussa Millo
Plasidi Faustin VicentZacharia Clement Sakila
Milka Golden SangaMakinda Nyamoye Mayala
Musa Njile SimudaElias Jacob Lukamata
Seleck Albert KajumuloSabina Edward Maila
Mohamed Rasul MndemePaulo Jagi Kusekwa
Charles Amanty ShewioApolinary Tyson Chilambo
Hanafi Mohamed OmariMustapha John Mizengo
Athuman Hango IddiDaniel Odhoch Gerald
Kulwa Gumalija SaidaDaimu Ally Nampupanga
Hassani Bakari MdachiJulieth Msafiri Christopher
Ernesta Michael KavisheNelius Sweetbert Xavery
Mussa James KihayileClinton Gedon Aswile
Deo John BusheshaJames Efriny Ilomo
Jesca Francis MlungwanaElizabeth Steven Madikenya
Amelda Alex ShaoMeshack Ezekia Mwakakango
Salome Majuto MtokomaInnocent Vicent Oisso
Edrick Mganyizi AlistidesShadrack Nicholaus Laurent
Isack Charles LusanaMartha Yediel Lewi
Adili Lwitiko MbembelaJackson Manyili Malole
Mhoja Mchanga CosmasElizabeth Damas Luhwago
Gisbert Octavian MulaziHamisi Samson Lushinge
Fredrick Florence FranceKiberith Deus Wilson
Furaha Gerad RohomojaMaria Cornel Mishamo
Valeriana Fidelis KiyaloRashidi Omary Michael
Osmundy Robert MkanulaLydia Johnston Mwakabenga
Evarine Hongwi KanyamaIsmaili Ibrahimu Kiosi
Zainabu Hassan MlandulaMichael Leonard Mbwanzi
Yohana Fundisha EliasClaudia Clemence Lugano
Anold Boniphace MwaisabilaShimba Padre Nhelegani
Devotha Kanogu MahonaItika Daniel Mwankenja
Evaresto Hhando Ng’aidaAsteria Deusdedith Egina
Emmanuel Joshua KisaboShija Kaneleja Nchanana
Paul Matenga NkwabiHamenya Elias Kimila
Frank Jackson NyandaJumanne Stephen Mpuge
Israel Nicholaus KapolesyaEdga Barongo Lungu
Agusta Frimin MedadiNuru Alipipi Mwakyoma
Anuary Abdala Athuman KittoJohn Patrick Ndunguru
Simon Andrew MlwiloErasto Mbwana Valentine
Mashinga Mwandu MashingaMariam Rashid Mgina
Maria Leonce MwahesaBenedict Paul Kulujenda
Thomas John MachebulilaIsack Lameck Lissu
Ester Chemka MuhojaPermina Stephano Sinda
Zena Ibrahim TawfiiqAdili Sadiki Kagoma
Shukrani Isaya MwandimilaMonica Leonard Shaba
Irene Kokubelwa StephenStephen Fedrick Mgimba
Happyness Julius ChilumateJohn Michael Daudi
Beatrice Robert KasigaziSamwel Keneth Magawa
Hekima Kagoma EdsonSada Juma Mkondo
Edina Peter MhiniCassian Msolashimbi Marco
Juma Zacharia KashinjeEmmanuel Charles Assey
Alex Remigius HauleMartha Stanley Macha
Baraka Michael DanielFrank Peter Samuel
Nyangwakwa Sitta KuzenzaAbel Busanda Philipo
Renatus Mathias KasomekoManubi Juma Shimbi
Alinasary Mrisha MsuyaVictor Elias Pastory
Mageka Julius NalimiHabibu Omary Mkindu
Paul Keshi CherehanIssa Bukuku Mbeyale
Elia Joseph MwasubilaHosea Efraimu Kamwela
Martin John KasapaniDickson Ngili Elias
Sebastian Manyama MayeyeSaid Jumanne Rumambo
Editha Charles MukibasiEmiliana Mark Kibogoyo
James Benson MwamasoFulgence Andrew Bizzo
Joackim Edwin KilasiBernadeta Akwilini Matey
Dickson Paulo MamboAlex Basaleo Hiluka
Amina Rashid MfurukiGeofrey Asubuhi Otieno
Juma Gibe MahiriPetro Aroni Mheni
Daniel Geophrey MuhangaMasudi Madua Masudi
Silva Raphael SiameHadijha Shaban Ugumba
Asia Salumu UtawanguChiza Juma Nimbga
Rose Daudi KumbuluBrighton Martin Mangasini
Victoria Godfrey MajengoTuma Sang’udi Kazzi
Eliud Ezekiel KasuleKarimu Lameck Nyeguye
Siyajali Lazaro AnthonyHappy Hebron Mwakatobe
Jackline Jerome MushiJennifer Salvatory Tonya
Baliyononela Erick MartinBasili Athanasi Joseph
Anitha Mukagoshora LeonidasNelison Sylivester Naftary
Azam Katunzi AbdulmajidSamweli Daniel Kasebele
Mang’ana Mayogoma CharlesFesto Wilgis Luambano
Kelvin Venance MwaisakaSmelda Anangisye Mwakipesile
Gisela Peter EmilianiDeodatus Alphonce Kimu
Phabian Toephil AmolloMedicko Alphonce Samila
Raymond Daniel MgeniKusigwa Masulende Makoye
Sheni Elitumaini KiwengeGrace Albinus Balthasar
Flora Cyprian MinjaJosephat Nicomedi Hindoy
Abdi Lugu MohamediMartha Deusdedith Makunja
Ambroce Hilmary MkingaHamis Bulahya Simon
Salome Stanley NzebeleMaria Kjuma Masanja
Fransiska Elisha AyubuSylvester William Nashon
Marietha Agustino SlaaVeronica Isdory Msuya
Emmanuel Welema JohnBrian Godbless Shoo
Engribert Gabriel MbogoPaulina Simon Kafene
Salumu Swali NandajeJeremia Gideon Jeremia
Cecilia Assa MwakijinjaFortunatus Deogratias Mporampora
Julieth Herman RobertLilian Agripa Elieza
Vaileth Magnus MgayaRogers George Dimosso
Rahabu Tsii Getabang’Malingila George Wilfred
Ezekiel Peter LuhejaBakari Ahmadi Kassim
Humphrey Peter AmbokileZakia Idrisa Mbaga
Nuru Joseph ShangoAndrea John Ngoo
Angel Godwin TengaKiyuga Masanja Lusunga
Jeni Dotto SamsonIssa Khalphan Gwala
Meshack Richard ChengulaEdwiny Magezi Muyoya
Nyandaro Hamisi ChogeroSamwel Peter Mcharo
Derick Chrizant RugengaWinfrida Yena Ndele
Gloria John MgogoAwamu Joel Ntama
Anchilda Mboineki FestoMelkiad Charles Mtwale
Rehema Abdallah RajabuMahizi Jilala Subi
Rozina Paskal MasaweKamwa Mladiga Mahoyogo
Overton Gabriel MwalwandaNkwabi Mayenga Madata
Erasto Martine SunzulaLimi Samwel Mbute
Abias Obed NtagudaEditha Godfrey Kimega
Honoratha Kemilembe OnesmoBahati Elipokea Williamu
Rehoboamu Lawi MakhoLinus Gilbert Tlatla
Elisha Mbusule ChristopherMariam Saidy Sengi
Paskalina Hassan MajengoMalaki George Nyangusu
James Mkami MarwaKalenga Baruani Kalenga
Samson Luhega MapulishSimon Shija Yusuph
Raban Rutta MpinzileYonah Nathanael Rutehangwa
Joseph Geremaniko IsackAgizo Alex Duma
Rhoda Muna IssaWilliam Evarist Kubhuke
Nyangibo Boazi MarwaAlex Elias Ngahapa
Baraka Kwendesha MdakiMwanahamisi Issa Lipamba
Abel Stephano LutemaAmina Saleh Pandu
Grace John RuthaBeatrice Elia Lota
Edson Sylivanus LeopordEsperius Paul Nzingo
Twahil Yahaya HajiUpendo Ronald Macha
Abdul Issa NkungaSatrumini Augustin Shirima
Ramla Ally MtiliAlly Rajabu Ngwale
Kelvin Oden MwakasegeAbrahamani Kenyata Mmbanga
Happyness Ehudi MhinaJackson Privatus Chiwalanga
Noel Ndelema DutuAman Daud Mwaibanje
Shukran Johnstone MesaiVictor Elia Mwampamba
Geofrey Eleuter NgimbaElias Kipili Charles
Magreth Simon PillaGeorge Amos Deus
Jerome Emanuel MbomaRest Allen Mwakilembe
Adili Asukile MwambopoJaneth Godfrey Kimena
Salehe Yasini MmbagaGidion Aidan Ngole
Audifasi Aloyce KileoEvamery Joram Karengi
Justine Masanja NillaPeter John Nyajoro
Elisha Masudi TupalanjeMboje Hussen Hamis
Isack Ayubu MwasajoneAneth Jovitus Ngimbwa
Mariano Boniface NgalapaBernadetha Joseph Komba
Heimrad Ignas MwanyiguRomana Salvius Humbaro
Yohane Ernest BukuruVenance Noel Nkoronko
Diana Manyama WalyakibiDionis Ildefonsi Mwalingo
Hemedi Ayubu MbwaniYunis Lusungu Kibiki
Delivitha Kabaikiliza DavidDiana Michael Mrosso
Isaya Obedi SangaGladness Richard Massawe
Gerald Bonaventure HauleFidelius James Mazele
Said Nassoro MohamediFaraja Nelson Kisato
Seleman Cosmas Lung’wechaEmanuel Fanuel Milamule
Mussa Omari MdemleFrank Julius Mlyahela
Lucia Yacobo RukamburaIlumbo Henry Mhulula
Antony Gerrad TaweteGadiel Japherson Ayo
Edwine John ShappyStella Peter Sarwatt
Yohani Gabriely PangaAnjela Faustine Ammo
Lukas Nikas ManenoMbota Jacobo Mbota
Gerion Gerald OlomiEdgar Adriano Tweve
Marko Endabesta ArajigJasmin Ramadhani Mwala
Farida Mohamed SelemaniErick Eustace Ephrahim
Fransis Laurian MarusuMigu Nkuba Robert
Ester Faustin MbajiEliwedi Tunzo Mbwambo
Abel Lutubija ThobiasAlfa Ibrahim Mgimba
Sophia Athanas AthumaniRose Regnard Monji
Amos Alphonce PecheMkapa Kulwa Ngulimi
Given Jimson MkonongoAdam Iddi Nyuda
Tema Barack LufungaJustine Jumanne Kaswende
Silla Festo TembaPerpetua Michael Kaduma
Mwanaisha Idrisa AliMonica Peter Kulwa
Magina Daniel SalumMwamba Pondamali Maghembe
Lutengano Moshi MkonongoEda David Sinda
Judith Oswald MapundaTabu Abdallah Makwiro
Faraja George MwahayolaRamadhani Yasini Nyawenda
Glory Arcard NjauBaltazar Salvatory Chuwa
Neema Pius KimarioDaudi Salu Jitubulu
Marietha Elias MakwayaSylivia Linus Moris
Nzogere Lucas MugendiMaryam Loiritha Lenga
Felister Punguja LuhumbikaTariq Shaweji Nawanda
Faraja Tumsingize KaitabaNuru Ramadhani Muna
Mkama Joshua NyamuteraElisha Samsoni Kilulya
Baraka Sospeter MsulujaEzekiel Yossia Kimwii
Benjamin Thadeo NyabumbweLatifa Hamisi Mtitu
Fredy Semu MchiraKing Omben Kazimoto
Samson Paul SimtalaAtukuzwe Hezron Mahenge
Deodatus Deusdedit NkulasiAmen Richard Nkya
Hawa Henry MwakiposaVicent Alois Payovela
Evelyne Stone MlokelaYakobo Ismail Sigala
Boniphace Marco MasamiPendo Isaya Matonya
Mwanamvua Mahmoud OsmanPeter Nyamkinda William
Dickson Balama FidelisHappiness Ibrahim Malosha

Majina Ya Waliopata Ajira Kada Ya Afya Mteknolojia Dawa Daraja II Oktoba 18, 2024

Rosemary Joachim JohnYonah Rutaihwa Kashuku
Gabriel Geofrey KibikiShadrack Martin Mbilinyi
Erick Emmanuel CherehaniLeah Abely Keleman
Aron Julius MviomboEmmanuel Baltazary Gwigilila
Vicent Faustine KaponyaNasra Abdu Mageni
Gloria Arnold DagaaJuliana Denis Chengo
Elizabeth Silvester HhapeAlex Hamisi Mbemba
Deosdedith Hermenegild ShirimaBernadette Peter Mayala
Said Nassor AllySuzan Mang’ula Charles
Valentino Venance MlessaEgbert Tumusiime Jackson
Bakari Alfan KambaNasra Suleiman Mwaliwale
Bella Mlewa BenjaminiEsther Peter Shunula
Maxmilian Nichoraus MunyetiRegina Edward Mkono
Jotham Josias MsafiriRehema Paulo Sanka
Jenifer Octavian MtemelaClaudia Patrick Mkilindi
Erica Erasto MbilinyiMasoud Gadson Ndayanse
Emmanuel Philbert KajunaYohana Mahendeka Maugo
Elvis Magid TaslimaPendaeli Emanuel Bajuta
Ireen Godfrey KagaliMoses Enos Mbelano
Atugonza Salatiel MujuniLucas Mshani Swilla
Masero Marwa MaseroVictor Tembo Lenatus
Germana Gregory TeshaQueen Nicolaus Lunyali
Felix Patrick SamaniSamuel Lawrence Malangwa
Jensen James KatoGolden Boniface Mjule
Calister Walter ShirimaRestuta Nkwabi Shenye
Janeth Joseph MollelElizabeth John Matoro
Bonaventure Baraka MugassaSamson Malilo Wilfred
Mwanabure Abdallah SaidiJohn Pius Shirima
Agnes Valentine MkomwaJackline Baraka Majele
Milembe Mhoja SeleliNeema Masinga Mkwila
Mariam Nyangeta AllianceJoachim Ignace Tesha
Emily Aloyce CosmasRenatus Peter Busagwe
Mhina James KimpandwaLucas Joseph Musa
Fatma Msafiri ShabanJacqueline Mathias Kibishi
Doreen Martin ByabushaAchman Charles Mashiku
Salma Kheri KitengeNoela Mhate Mashabala
Fransis Ernest MatutuErick Ndekirwa Urio
Hyasinta Herman MassaweFesto Naftari Kikuzwa
Elieth Godrich MndemeZainabu Kassim Shabani
Witness Herry MakuleLisa Charles Makesi
Hawa Pendael MassaweFrank Elibariki Kimoho
Marceline Gervas MhengaWaziri Karani Mbaga
Balbina Samson MahinyaJesca Willy Lyimo
Ndallo Paul NyamwochaFrancis Ludovick Mwita
Emerian Andrew Ng’wibombiAisha Juma Halfani
Belinda Estomih MollelNelson Vinius Gachunda
Rajabu Abdi SwaleheGrace Jacob Geay
Levis Gerazi MwombekiJoseph Charles Sengasenga
Veronica Joseph MbundaAbison Edward Ngulo
Dino Chelestino NgalowokaElipidius Muganyizi Audax
Baraka Joseph ShikaDoris Atieno Amara
Joyce Daniel MalimaThomas Francis Msoka
Didas Albert SogombaEdina Disio Mwanuke
Selemani Jumanne KabuhuBernado Melkiory Tahhani
Mzee Kilango SeivundeDeogratius Mwansembo Jacob
Joseph Danielly IrundeSamwete Honoratus Ngakuka
Peace Prudence VedastoJosephina Vance Nyaketoleka
Glory Simon NdekwaJalala Ramadhani Kalingonji
Daudi Petro HalingaIdda Apolinary Marandu
Rose Walter KaguoAvelino Isaay Marceli
Grayson Samson MwitaDorcas Denis Wairaha
Ruth Peter MwigaEdna Cosmas Moshi
Mwanahamis Juma DawsonDiana Mosses Maturo
Frank Felix NdombaChausiku Mwinyimadi Jaha
Samson Philipo MalabeZawadi Elija Elias
Shija Masanja LubinzaIrene Harson Mfinanga
Getruda Charles ManyamvigaSalhia Salim Ally
Victor Gerald MinjaAnchila Malauri Leonard
Selina Godfrey MunishiNoel Musa Maige
Haji Halfan KibambaPeter Alfred Mgendwa
Brighton Regnald MakereAbasi Katson Msemwa
Haroun Emmanuel WalangiPraxeda Sundi Valerius Mapanda
John Joseph GwahemutseMonica Mussa Asseno
Neema Geofrey SemeiRichard Kajula Mwakalinga
Zainab Kassim MwamgongoJames Jeremiah Fransisco
Edward Alfred PeterShadrack Thomas Daniel
Lucy Japhet CasmiryOmega Ipyana Mwakisole
James Elias HauleBernadetha Feston Elly
Debora Nashon GichogoNice Elisa Binamungu
Samson Richard MakilaNeserian Charles Meivukie
Christer Spedo MatandaJosephina Pascal Bulaya
Alex Joseph KosmasHawa Maximillian Nditi
Maduhu Mabula MpyupyuLucy John Bee
Hilda Burton NgwaleAnna Anderson Utonga
Balima Ibrahim MussaSigifrida Sigsmundi Munishi
Amani Hamisi ShomiBaraka Robert Yebette
Noel Moses MrimiIsdory Peter Mushi
Julia Lwankomezi AmosiMeshack Jerome Munuo
Reuben Weddy JamesMarco Nzile Lucas
Flora Lucas YohanaJaneth Geofrey Mwaipasi
Brigita John MpelwaMelami Lazaro Mongoi
Samweli Elia MbwagaOmary Hussen Ibrahim
Baraka Nyangosira GengeMaryamanda Julius Shirima
Aisha Mohamed PapalaIrene Rainery Kayombo
Said Faki HamadGetrude Msifuni Mmasa
Louisjr Pearson NkemboFadhili Shamiri Mgeni
Mahelela Timothy MosesSalma Hamis Juma
Nuru Yusuph AllyMagreth Charles Chimuli
Eva Bervin MtendoAncila Julius Lyimo
Adelina Severine StephenSalma Ramadhani Salehe
Busara Ezekiel MollelHolanwa Ernest Kagwiza
Akai Rogaro MwangaDominica James Maziku
Alex Geofrey MongiMohamed Bakari Sengoli
Swalehe Awadhi BakariCharles Bashiru Mussa
Edina Zacharia ShayoHaji Mohamed Yasini
Aneth John RyobaElias Alphonce Simon
Deogratius Joseph BukuluGrace Paschal Katunzi
David John GamalaAyubu Daudi Wibbe
Joel John MassaweHumphrey Geofrey Mgaya
Medadi Kulwa KudojaVeronica Joseph Mbimbi
Manyama Elikana MagamboZebido Mwise Paul
Oketo Mbuya KilimaNeema Rayson Macha
Christopher Felix MakandagoMaria Cresence Mloka
Marietha Moses SekileAgape Emmanuel Msuya
Meckline Justine Ng’ingoHassani Salumu Rutemba
Imaculata Marcus MbawalaZalha Hamis Mohamed

Bofya hapa Kupakua Tangazo Rasmi La Waliopata Ajira Kada Ya Afya Oktoba 18, 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Majina Ya Walimu Walioitwa Kwenye Usaili 2024
  2. Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira Portal 2024
  3. Nafasi 4 za Kazi ya Dereva Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa | Mwisho 27 Oktoba 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo