Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025 | Walioitwa kwenye mafunzo uhamiaji 2025

Habari njema kwa vijana wote waliokuwa wakisubiri kwa hamu kujua kama wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi la Uhamiaji! Idara ya Uhamiaji Tanzania imetoa orodha ya majina ya vijana 331 waliofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo yatakayoanza Machi 1, 2025. Tangazo hili rasmi limetolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji mnamo Februari 6, 2025, likiwa ni mwitikio wa zoezi la udahili lililofanyika hivi karibuni.

Wito huu unawahusu vijana wote walioomba nafasi za mafunzo katika kada mbalimbali za Uhamiaji, ikiwa ni pamoja na maafisa uhamiaji, wakaguzi wa mipaka, na maafisa wa uchunguzi. Ni fursa adhimu kwa vijana wa Kitanzania wenye ari ya kulitumikia taifa kupitia idara nyeti inayohusika na usalama wa mipaka, udhibiti wa uhamiaji, na utoaji wa vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini.

Endapo jina lako liko kwenye orodha, basi pongezi kwako! Lakini, ili kujihakikishia nafasi yako katika mafunzo haya, ni muhimu kuzingatia maelekezo yote yaliyotolewa na Idara ya Uhamiaji, ikiwemo kuripoti kwa wakati na kuwa na nyaraka zote muhimu.

Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

Mahali na Tarehe za Kuripoti Mafunzo Jeshi la Uhamiaji

Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, vijana waliopata nafasi ya mafunzo wanatakiwa kuripoti katika Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga, kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga. Wanafunzi wote wanapaswa kufika chuoni siku ya Jumamosi, Machi 1, 2025, kati ya saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.

Kwa wale walioomba kupitia Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, wanapaswa kuripoti katika Afisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (Tunguu) siku ya Jumatatu, Februari 24, 2025, kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

Baada ya mchakato wa udahili uliohusisha vijana wengi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania, Idara ya Uhamiaji imetoa orodha ya majina ya waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Uhamiaji kwa mwaka 2025.  Jedwali lifuatalo linaonyesha orodha kamili ya majina ya waliochaguliwa, likiwa limepangwa kwa alfabeti ili kurahisisha utafutaji.

No Jina Kamili No Jina Kamili
1 Abdilahi Ali Khamis 167 Joseph Peter Shayo
2 Abdulkarim Salum Mpeta 168 Joshua Bonaventure Temba
3 Abdulla Omar Mohamed 169 Joshua Florian Kasibi
4 Abdulnassir Saleh 170 Joyce Liberatus Lyimo
5 Abdulrazak Riziki Mohammed 171 Juma Abuu Shaame
6 Abubakari Suleimani Nabahani 172 Jumanne Jumanne Milanzi
7 Adili Elinazi Stephano 173 Kalubea John Ngaponda
8 Afidhu Kyaruzi Abuu 174 Kelvin John Kambo
9 Ahmad Saleh Mussa 175 Kennedy Msafiri Birigi
10 Ahmed Abdul 176 Khadija Suleiman Omar
11 Aisha Hassan Mohammed 177 Khalid Khamis Masoud
12 Ally Ayasi Ally 178 Khaulat Mustafa Abdalla
13 Ally Mussa Ally 179 Kibase Wappy Kubilu
14 Alphonce Benjamin Millanzi 180 Kisamo Jumanne Matondo
15 Amar Hamid Abdi 181 Kornel Mtatiro Maisa
16 Amduni Mahamudu Matimbili 182 Kwandu Kuhang’wa Mpagalushu
17 Amina Swaleh Rashid 183 Laurent Nyakwarobonyo Romanus
18 Amiri Zuberi Abed 184 Legnand James
19 Amran Abdillahi Salim 185 Leonce Oscar Mgweno
20 Ana Edward Kitundu 186 Lightness Kokusima Onesmo
21 Angel David Mafwimbo 187 Lilian Richard Kamenya
22 Annamarthar Augustino 188 Lisa Rwegasila Mwoleka
23 Anner Vicent Luoga 189 Lissah Adolph Andrea
24 Anthony Kate Kasuguli 190 Loveness Allen
25 Arafa Makame Abdallah 191 Lucas George Mwafwalo
26 Arafat Rajabu Indim 192 Lucy Salvatory
27 Arthur David Sadick 193 Lulu Eliakim Mnyawami
28 Asha Iddi 194 Lusungu Chamuhulo Mubofu
29 Asha Rajabu Mwangia 195 Lydes James Rweyongeza
30 Ashura Ahmedi Kasongo 196 Lydia Nicodemus Ndossi
31 Asteria Rafael Yard 197 Magige Thomas Magige
32 Augustino Migilimo Issa 198 Maginga Maringwa Korong’anyi
33 Austin Phaustine 199 Mahmoud Abuu Said
34 Avila Chilega Yusuph 200 Maitham Said Denge
35 Aysha Masoud Khamis 201 Majidu Ally Majidu
36 Ayubu Andrew Luhimbo 202 Malcom Adrian Kishiba
37 Baraka Kayumba 203 Margreth Deodatus Zephrine
38 Barbra Edward Ngaula 204 Mariam Mohamedi Boya
39 Bashir Abdu Mwinyi 205 Mariam Solile Philip
40 Beatrice Deus 206 Mary Eucharius Mtumbuka
41 Beatrice Deus Magesa 207 Mary Salum   Maziku
42 Beatrice Erastus Betabula 208 Maryam Ayoub Yahya
43 Benedict Elias Kikuo 209 Maryam Bashir
44 Benny George 210 Masungwa Stephano Sungwa
45 Bernard Thobias Mayala 211 Mbaraka Juma Kwekaza
46 Bickiam Saidi Makacha 212 Michael Aggrey Mtisi
47 Bimkubwa Makame Mcha 213 Michael Rajab Daggo
48 Binemtonzi Gereon Rweyongeza 214 Michael Timoth Mtweve
49 Blasto Raymond Chatanda 215 Mike Gift Mbwambo
50 Boniphace Augustine Muumba 216 Mjahidu Saidi Suleimani
51 Boniphace Peter Clement 217 Mohamed Jihad
52 Bosco Faustin Mwinuka 218 Mohamed Ramadhan Selema
53 Brian Paul Mokiwa 219 Mohamedi Masudi Mohamedi
54 Carlos Raymond Erasto 220 Monica Dawai Joseph
55 Chamnda Ussi Kheir 221 Mosses Ibrahim Mosses
56 Charity Sunga Jimy 222 Mpelwa Ngusa Nesi
57 Charles Elisonguo Masuki 223 Msabaha Haji Khatib
58 Charles Marwa Kichere 224 Mudh-Hir Mahmoud Ally
59 Christie Shelard Mukama 225 Muhsin Omar Ali
60 Clever Moses Mwakajinga 226 Mustafa Haidar Abass
61 Collins Deodatus 227 Mwalim Haji Pandu
62 Coretha Angelo Chahe 228 Mwatima Jaku Ali
63 Cotrida Kelvin Challe 229 Mwitha Samwel Wambura Chacha
64 Crispus Thomas Mayombya 230 Nanzighe Hassan Mgonja
65 Dadi Jabili Nurdin 231 Nasra Abdul Kutalasa
66 Danford Lucas Katambo 232 Nasri Nassib Nyamhanga
67 Delphinus Dominick Ruhongore 233 Neema Daudi Swai
68 Doroth Harryson Matto 234 Neema Mota Mpina
69 Drau David Sanare 235 Neema Shaaban Omar
70 Drusilla Elisha Suleiman 236 Nelson Nwaka Mwaiposya
71 Ebenezer David Mnankali 237 Nicolaus Kamlika
72 Editha Simon Ng’itu 238 Norman Godwin Manyiga
73 Elias Richard Charles 239 Nuhu Mohamed Kileo
74 Eliatosha John Lohay 240 Nurath Juma Bonza
75 Elick Mussa Majaliwa 241 Nuuman Haruna Khamis
76 Elizabeth Antony Gyunda 242 Nyerere Mwita Chacha
77 Elizabeth Charles Bakaraza 243 Omar Ali Mohammed
78 Elizabeth Semu Malongo 244 Osama Omary Anga
79 Elly Dominick Mwaisaka 245 Othman Binali Abdulla
80 Elvis Eliuter Samwel Ngolongolo 246 Pascal Phillipo Bayo
81 Emanuel Kasibeti Mbesigwe 247 Patrick Amani Mwatonoka
82 Emiliana Bethod Mahwata 248 Peter Tumaini Mdoe
83 Erick Gaspar Mhina 249 Philipo Kasheto Mashiku
84 Erick Gilbert Waswa 250 Philomena Method Oscar
85 Evance Joel Karumuna 251 Queenlisa Benedict Bernard
86 Evelyn Dominick Kambili 252 Rafigh Mwalim Nassib
87 Ezra Benedict Mhame 253 Rahim Hemed Mkumbukwa
88 Fahadi Ahmada Matajabu 254 Rahma Hamza Mkinga
89 Faraja Paulo Opapa 255 Raifa Omar Keis
90 Farida Muharam Chanzi 256 Rajab Abdala Kolowa
91 Fatma Hassan Haji 257 Ramadhan Abdillah Mpate
92 Fatuma Elias Kumbi 258 Ramadhan Haji Ramadhan
93 Feisal Abdalla Khamis 259 Ramadhani Hamidu Shaban
94 Feisal Abdulmajid Said 260 Raphael Gwede George
95 Feisal Said Lupinga 261 Rebecca Suleiman
96 Felix Joseph Msafiri 262 Rehema Mohammed Mashauri
97 Fortunatus Fortinus Kahimba 263 Rehema Nassoro
98 Francis Josephy Kika 264 Rehema Yussuf Fikirini
99 Fravianus Mubezi Frederick 265 Respicius Yohana Jonas
100 Fredrick John Ndomba 266 Ritha Ferdinand
101 Fredy Samson Mwambage 267 Robert Paschal Bujashi
102 Gabriel Alphonce Kipilimba 268 Ronitha Constantine Bujiku
103 Gambadu Samwel 269 Rozalia Tizo Kibikimunu
104 Gati Otaigo Jacob 270 Rukaiya Abadulla Awesu
105 George John Mbalamwezi 271 Rukia Mohamed Chegeka
106 Gift Mboya Mwatindi 272 Ruth Thobias Andengenye
107 Gladness Moses Ngendelo 273 Sabra Ali Idrisa
108 Godfrey Marwa Buchwa 274 Sabrina Omary Abdul Kapilima
109 Godfrey William Sule 275 Sadam Hassan Abdu
110 Grace David Nyandwi 276 Sadick Izadin Kalokola
111 Grace Melckizedeck Ntalimbo 277 Said Daud Mwitwa
112 Hadija Ismail Hassan 278 Said Kassim Msosa
113 Haggai Ibrahim Tesha 279 Said Moh’d Said
114 Hakika Franco Msokwa 280 Saidi Ahmad Saidi
115 Hamis Seif Abdallah 281 Saidi Juma Mrisho
116 Hamza Hassani Chomboka 282 Saleh Talib Saleh
117 Happiness Joseph Kitwala 283 Salma Abdalah Mdoe
118 Happiness Yusuph Mashaka 284 Salmin Abbas Megerwa
119 Happy Nahman Koko 285 Salmini Salum Songoro
120 Happyness Wang’ombe Nyamhanga 286 Salome Rogers Msemo
121 Hassan Daud Haji 287 Salum Tamambele Simba
122 Hassan Florenco Mbululo 288 Salumu Juma Mashaka
123 Hassan Hussein Upete 289 Samson Edward Kashinje
124 Hazeniphoce Wanka Mgaya 290 Sara Epaphras
125 Hellena Zablon 291 Sarafina Simon Mengo
126 Hemed Juma Hassan 292 Sarah Enea Mhando
127 Henry Fernandes Ndenje 293 Sebastian Aloyce Manyama
128 Hilary Erasmus Ndorosi 294 Sharifu Said Msuzi
129 Hilary Evarist Tairo 295 Sililo Simon Gwamenyo
130 Hosam Amour Ali 296 Silivestir Peter Assey
131 Hudhaima Rajab Juma 297 Silvia Revocatus Bituro
132 Husna Ramadhani Suleiman 298 Sostenes Robert Joseph
133 Hussein Chande 299 Stephano Michael Stephan
134 Hussein Hamidu Lugelo 300 Stephen Noel Mrope
135 Husseni Mohamedi Makanjila 301 Steven Kenedy Mzena
136 Ibrahim Hamisi Kuta 302 Steven Mathayo
137 Ibrahim Khamis Ali 303 Subira Japhary Mbwambo
138 Idarus Adam Chenge 304 Swedi Tandiko Yusuph
139 Idd Alhaj Idd 305 Taibu Afadhali Taibu
140 Iddi Juma Iddi 306 Thania Masoud
141 Iglima Said 307 Thobias Damian Thobias
142 Ignas Msabila Msabila 308 Thomas Jeremiah Mwabobo
143 Igoko Safari Ephrahim 309 Twaha Omari Chande
144 Ilumbo-Lea Given Gaula 310 Ummylkhiraty Ramadhani
145 Innocent Josia William 311 Umu-Kulthum Suleiman Ali
146 Innocent Longinus Maghali 312 Ushindi Jackson
147 Irene Ruga Lwekamwa 313 Vedastus Martin Samare
148 Irene Thobias Charles 314 Veronica John Rungwa
149 Isaka Magire Tluway 315 Veronika Obley Mpasa
150 Ismail Makame 316 Victoria Owen Mwazembe
151 Ismaili Hamisi Ismaili 317 Wambura Maningo Maresho
152 Jack Exaud Minja 318 William John Muzungu
153 Jackline Onesmo Michael 319 William Pius Michael
154 Jafari Asadi Mahamudu 320 Winfrida Sosten Ng’ande
155 Jaffar Fadhil Simba 321 Winfrida Westone Luzilo
156 Jamaly Hassan Mohamed 322 Yahya Shekha Seif
157 James Frate Uronu 323 Yemi Amosye Abdallah
158 Janeth Emmanuel 324 Yusra Masoud Mohamed
159 John Danieli Yeremia 325 Yustina Zakaria Makaranga
160 John Edwini Shitindi 326 Yustino Paul Nyamiti
161 John Gastone Mahwaya 327 Zainab Saleh Ngoy
162 John Oscar John 328 Zakia Saidi Kondo
163 Johnbosco Raphael Athanas 329 Zena Athumani Daudi
164 Johnson Paul Sembe 330 Ziadi Abdul Mhaku
165 Joseph Elieza Mwakagosi 331 Zuhura Seleman Ngovi
166 Joseph Goodluck Kimaro

Nyaraka Muhimu kwa Wanafunzi

Wanafunzi wanatakiwa kuripoti na nyaraka halisi zifuatazo:

  1. Cheti cha kuzaliwa
  2. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA
  3. Vyeti halisi vya elimu (Kidato cha Nne, Kidato cha Sita, na Shahada)
  4. Vyeti vya ujuzi wa aina mbalimbali (kwa wale wenye ujuzi wa ziada)

Mwanafunzi yeyote atakayekosa nyaraka hizi hatapokelewa chuoni.

Mahitaji Muhimu kwa Waliochaguliwa Mafunzo Uhamiaji

Wanafunzi wote wanapaswa kuja na vifaa na mahitaji yafuatayo:

Fedha kwa ajili ya huduma za afya:

  • TSh 50,400 kwa bima ya afya (kwa asiye na bima)
  • TSh 25,000 kwa vipimo vya afya
  • Fedha za matumizi binafsi

Mavazi na vifaa binafsi:

  • Truck suit (jozi 2) rangi nyeusi na dark blue
  • Raba za michezo jozi 2 (rangi yoyote)
  • Nguo nadhifu za kiraia jozi 3
  • Mashuka 4 (rangi ya bluu)
  • Mto wa kulalia 1, foronya 2 (rangi ya bluu)
  • Chandarua 1 (rangi ya bluu)
  • Madaftari makubwa 4 (4QRs)
  • Sanduku la chuma (trunker)
  • Ndoo 2 za plastiki (moja ya lita 10 na moja ya lita 20)

Vifaa vya usafi na matumizi mengine:

  • Fulana 2 (rangi ya dark blue, shingo ya duara)
  • Viatu vya mvua (rainboot) jozi 1
  • Taulo 1, kandambili jozi 1
  • Jembe 1 na mpini wake, fyekeo 1, panga 1 na reki 1

Kwa wanafunzi ambao hawana baadhi ya vifaa hivi, vinaweza kupatikana katika Duka la Chuo kwa gharama zao binafsi.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi tembelea tovuti rasmi ya Uhamiaji kupitia www.immigration.go.tz.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)
  2. Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025
  3. Ajira Portal | Ajira Mpya za Walimu December 2024
  4. Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal (Immigration Recruitment Portal)
  5. Nafasi za Kazi Benki Kuu ya Tanzania BOT December 2024
  6. Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Uhamiaji
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo