Kikosi cha Timu ya Taifa U20 kitakachoingia kambini Agost 5, 2024
Kikosi cha Timu ya Taifa ya U20, maarufu kama Ngorongoro Heroes, kinatarajiwa kuingia kambini kuanzia tarehe 5 Agosti, 2024. Kambi hii itafanyika katika Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichopo Mnyanjani, Tanga.
Maandalizi ya kambi hii yanalenga kuimarisha kikosi kwa ajili ya mashindano mbalimbali ya kimataifa yanayokuja. Wachezaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika kambini mapema ili kuanza mazoezi na mafunzo maalum chini ya uangalizi wa benchi la ufundi.
Hawa Apa Wachezaji wanaounda Kikosi cha Timu ya Taifa U20 Kitakachoingia Kambini Agosti 5, 2024
Sn | Jina La Mchezaji | Timu Anayochezea |
1 | Mohamed Ali | Mlandege |
2 | Saeed Mohammed | Mlandege |
3 | Jammy Simba | JKU |
4 | John Eliwedi | Kagera Sugar |
5 | Mbarouk Nassor | Zanzibar |
6 | Hamad Ubwa | Zanzibar |
7 | Kelvin Komba | KMC FC |
8 | Willyson Chigombo | Young Africans |
9 | Saeed Salim | Zanzibar |
10 | Vedastus Masinde | Biashara |
11 | Daruweshi Rashidy | Simba SC (KVZ) |
12 | Sabri Dahal | |
13 | Shomari Mponzi | Kagera Sugar |
14 | Shomari Mkinyagi | KMC FC |
15 | Samuel Shilla | Gremio Utah, USA |
16 | Ismail Mpank | KMC FC |
17 | Nickson Mosha | Mtibwa Sugar |
18 | Okech Nyembe | Simba SC |
19 | Peter Rweshabula | Simba SC |
20 | Aweso Kassim | Young Africans |
21 | Hamis Nanguka | Young Africans |
22 | Ashraf Kibeku | Azam FC |
23 | Ally Mohamed | Azam FC |
24 | Omary Mwinyimvua | Dodoma Jiji |
25 | Ismail Omary | Azam FC |
26 | Nicodemus Ntarema | Geita Gold |
27 | Arafat Abubakar | Malindi |
28 | Dickson Binamungu | Kagera Sugar |
29 | Nashon Upondo | Azam FC |
30 | Fales Mkude | Azam FC |
31 | Omary Hassan | Mtibwa Sugar |
32 | Khamis Adam | Pamba Jiji |
33 | Mohamed Hassan | Malimao FC |
34 | Arnold Manyonzi | TZ Prisons |
35 | Wilson Edwin Nangu | TMA |
36 | Aziz Mohamed | Singida FG |
37 | Yunus Lema | Mbuni FC |
38 | Mohamed Omary | JKU FC |
39 | Bryan Gerald | |
40 | Daud Athumani | Azam FC |
41 | Abdulkarim Kassim | Azam FC |
42 | Pacas Wagana | Biashara United |
43 | Ahmed Pipino | Malimao FC |
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply