Kikosi Cha Taifa Stars Kitakacho Cheza Na Sudan Mechi za Kirafiki: Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kirafiki dhidi ya Sudan nchini Saudi Arabia. Kikosi kilichotangazwa kimejumuisha jumla ya wachezaji 21 ambao wengi wao ni vijana ambao umri wao ni mdogo kitu ambacho kinaonesha kua mwalimu wa Taifa Star Hemed Suleiman anakinoa kuakikisha vijana wake wanakua tayari kabla mashindano ya kimataifa kuanza kutimua vumbi.
Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amechagua kikosi chenye nguvu kinachowajumuisha nyota wengi wa ndani na nje ya nchi. Baadhi ya wachezaji mashuhuri katika kikosi ni pamoja na Kelvin Pius John anaechezea klabu ya KRC Genk ubelgiji, Gadiel Michael wa Cape Town Spurs ya Afrika kusini, Mourice Michael wa RFK NNovi Sad ya serbia, na kipa makipa wa tatu ambao ni Ahmed Ali Suleiman wa uhamiaji Fc, Ally Salim wa Simba Sc na Abrahman Vuai wa Azam Fc.
Je, Taifa Stars wataweza kuonyesha uwezo wao na kuibuka washindi katika mechi hizi za kirafiki dhidi ya Sudan? Watanzania wanatarajia kwa hamu kuona timu yao ikicheza vizuri na kujipatia uzoefu wa kimataifa kabla ya fainali za AFCON 2025.
Hiki Apa Kikosi Cha Taifa Stars Kitakacho Cheza Na Sudan Mechi za Kirafiki
Makipa
- Ahmed All Suleiman
- Ally Salim Juma Khatoro
- Abrahman Vuai Nassoro
Mabeki
- Mukrim Issa Abdallah
- Alphonce Mabula Msanga
- Miano Danilo Van Den Bos
- Gadiel Michael Kamagi
- Abdulmalik Adam Zakaria
- Baraka Shabaan Mtuwi
- Abdulra Seif Bausi
Viungo
- Mohammed Ali Omar Sagaf
- Morice Mic • I Abraham
- Khalid Habibu Idd
- Ishaka Said Mwinyi
Washambuliaji
- Omary Abdallah Omary
- Ben Anthony Starkie
- Oscar Adam Paul
- Kelvin Pius John
- Tarryn Allarakhia
- Ibrahim Hamad Ahmada
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Upambanaji na Kujiamini: Sababu za Kupanda kwa Thamani ya Kibu D
- Simba SC Yasaka Kocha Mpya Mwenye Uzoefu wa CAF
- Paul Pogba Ageukia Filamu Baada ya Kufungiwa Soka kwa Miaka Minne
- Azam yaifuata Yanga Nusu Fainali Kombe La Shirikisho 2024
- Msimamo Wa Championship Uingereza 2023/2024
- Ipswich Town Yafuzu Ligi Kuu EPL Baada Ya Miaka 22
Leave a Reply