Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Hemed Morocco ametangaza majina ya wachezaji watakaounda kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya michezo miwili dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo) mwezi Oktoba 2024 katika michuano ya kuwania tiketi za kufuzu AFCON. Kikosi hiki ni mchanganyiko wa wachezaji kutoka ligi ya ndani na wachezaji wanaocheza nje ya nchi, jambo linalotoa uwiano wa uzoefu na vipaji vipya.

Makipa:

  • Ally Salim (Simba)
  • Zuberi Foba (Azam FC)
  • Yona Amos (Pamba)

Mabeki:

  • Mohammed Hussein (Simba)
  • Lusajo Mwaikenda (Azam)
  • Pascal Masindo (Azam)
  • Ibrahim Hamad (Yanga)
  • Dickson Job (Yanga)
  • Bakari Mwamnyeto (Yanga)
  • Abdulrazack Hamza (Simba)
  • Haji Mnoga (Salford City, England)

Viungo:

  • Adolf Mtasingwa (Azam)
  • Habib Khalid (Singida Black Stars)
  • Himid Mao (Talaal El Geish, Misri)
  • Mudathir Yahya (Yanga)
  • Feisal Salum (Yanga)
  • Seleman Mwalim (Fountain Gate)
  • Kibu Denis (Simba)
  • Nasoro Saadun (Azam)
  • Abdullah Said (KMC)

Washambuliaji:

  • Cyprian Kachwele (Vancouver Whitecaps, Canada)
  • Celement Mzize (Yanga)
  • Mbwana Samatta (PAOK, Ugiriki)

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Dodoma Jiji Fc vs Tabora United Leo 02/10/2024 Saa Ngapi?
  2. Acheni Kulewa Sifa – Kocha Coastal Union Awachana Chipukizi
  3. Bado Niponipo Sana tu- Jibu la Tshabalala Kuhusu Kustaafu
  4. Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025
  5. Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025
  6. Wachezaji Wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa October 2024
  7. Wachezaji Wa Simba Walioitwa Timu ya Taifa October 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo