Kikosi cha Simba Kilicho Safiri Kwenda Angola Kuifuata Bravos

KIKOSI Cha Simba SC Kilichoifuata Bravos do Maquis Angola

Kikosi cha Simba Kilicho Safiri Kwenda Angola Kuifuata Bravos

Wekundu wa Msimbazi Simba wametangaza orodha rasmi ya nyota waliosafiri kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa kombe la shirikisho CAF dhidi ya Bravos Do Marquis. Safari hii ni muhimu katika kuamua hatma ya Simba SC katika kuwania kufuzu kwa hatua zinazofuata za shindano hili lenye hadhi kubwa barani Afrika. Klabu ya Simba SC, yenye makazi yake jijini Dar es Salaam, imethibitisha azma yake ya kufanya vyema katika michuano hii, ikizingatiwa kuwa ushindi katika mchezo huu utaiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Orodha Rasmi ya Wachezaji Waliojumuishwa Kikosini

Safari hii, Simba SC imejizatiti kwa kuwajumuisha wachezaji wenye uzoefu mkubwa na vipaji vya kipekee. Kuanzia langoni hadi safu ya ushambuliaji, kikosi hiki kimejaa wachezaji wenye uwezo wa kuleta ushindi. Hii hapa ni orodha kamili ya nyota hao:

Walinda Mlango (Makipa):

  1. Moussa Camara
  2. Hussein Abel
  3. Ally Salim

Walinzi (Mabeki)

  1. Karaboue Chamou
  2. Che Malone Fondoh
  3. Abdurazak Hamza
  4. Mohamed Hussein
  5. Shomari Kapombe
  6. Kelvin Kijili.

Viungo (Midfielders)

  1. Mzamiru Yassin
  2. Fabrice Ngoma
  3. Yusuph Kagoma
  4. Elie Mpanzu
  5. Augustine Okejepha
  6. Kibu Denis
  7. Debora Fernandes
  8. Ladaki Chasambi
  9. Awesu Awesu
  10. Edwin Balua
  11. Jean Charles Ahoua

Washambuliaji (Strikers)

  1. Leonel Ateba
  2. Valentino Mashaka

Kikosi cha Simba Kilicho Safiri Kwenda Angola Kuifuata Bravos

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Tanzania Bara vs Burkina Faso Leo 09/01/2025 Saa Ngapi?
  2. Kilimanjaro Stars Kukamilisha Ratiba Mapinduzi Cup Dhidi ya Burkina Faso
  3. Shassir Nahimana (31) Atambulishwa Rasmi na Pamba Jiji
  4. Msimamo Wa Kundi Mapinduzi Cup 2025
  5. Kikosi cha Kilimanjaro Stars vs Kenya Leo 07/01/2025
  6. Kilimanjaro Stars vs Kenya Leo 07/01/2025 Saa Ngapi?
  7. Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
  8. Yanga Kuwakosa Maxi, Chama na Yao Mechi Dhidi ya TP Mazembe Leo
  9. Yanga vs Tp Mazembe Leo 04/01/2024 Saa Ngapi?
  10. Kikosi cha Kilimanjaro Stars VS Zanzibar Heroes leo 03/01/2024
  11. Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo