Kibu Denis Aipa Simba Ushindi Dhidi ya CS Sfaxien Dakika za Jioni

Matokeo ya simba leo caf

Kibu Denis Aipa Simba Ushindi Dhidi ya CS Sfaxien Dakika za Jioni

CAF: Mchezo wa Kundi A wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba ikiwa nyumbani dhidi ya ya Tunisia umemalizika kwa wenyeji kushinda magoli 2-1 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam Simba ambayo ilipata Goli lake kupitia kwa Kibu Denis aliyesawazisha baada ya Haj Hassen kutangulia kufunga kisha kuongeza la pili kwa mfungaji yuleyule dakika za nyongeza, imefikisha Pointi 6 katika michezo mitatu ya Hatua ya Makundi Simba inatarajiwa kuwa ugenini kurudiana na CS Sfaxien mnamo Januari 5, 2025

Kibu Denis Aipa Simba Ushindi Dhidi ya CS Sfaxien Dakika za Jioni

Hali ya Msimamo wa Kundi Baada ya Mechezo

Rank Club
1 CS Constantine 2 2 0 0 3 1 2 6
2 Simba 3 2 0 1 4 3 1 6
3 Bravos do Maquis 2 1 0 1 3 3 0 3
4 CS Sfaxien 3 0 0 3 3 6 -3 0

Mapendekezo ya mhariri:

  1. Matokeo ya Simba VS CS Sfaxien Leo 15/12/2024
  2. Kikosi cha Simba VS CS Sfaxien Leo 15/12/2024
  3. Jackson Shiga Anukia Fountain Gate
  4. Bao la Mwisho la Dube Laipa Yanga Point dhidi ya TP Mazembe
  5. Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
  6. Matokeo ya Tp Mazembe VS Yanga Leo 14/12/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo