Kamati Mpya Ya Mashindano Simba Sc 2024/2025 Yatangazwa

Kamati Mpya Ya Mashindano Simba Sc 2024/2025 Yatangazwa

Klabu ya Simba SC imeendelea na juhudi zake za kuimarisha uongozi na kuhakikisha mafanikio yanarejea makao makuu ya wakundu wa msimbazi kwa msimu wa 2024/2025. Mnamo Agosti 1, 2024, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Mohammed Dewji, maarufu kama ‘Mo’, alitangaza kamati mpya ya mashindano ya klabu hiyo. Kamati hii itakuwa na wajumbe saba, kila mmoja akiwa na jukumu muhimu katika kuendeleza na kuimarisha utendaji wa timu ndani na nje ya uwanja.

Wajumbe wa Kamati Kamati Mpya Ya Mashindano Simba Sc 2024/2025

Kamati mpya ya mashindano ya Simba SC imeundwa na wajumbe saba walioteuliwa kwa uangalifu mkubwa kutokana na uzoefu na mchango wao katika sekta ya michezo. Wajumbe hao ni:

  1. Mohamed Nassor
  2. Azan Said
  3. Richard Mwalwiba
  4. Nicky Magarinza
  5. Juma Pinto
  6. Farid Nahdi
  7. Farouk Baghozah.

Kamati Mpya Ya Mashindano Simba Sc 2024/2025 Yatangazwa

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Wasanii Watakao Tumbuiza Simba Day 2024
  2. Washindi wa Tuzo za TFF 2023/2024
  3. Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Azam Fc 2024/2025
  4. Jezi Mpya Za Azam Fc 2024/2025
  5. Opah Clement Ajiunga Na Henan Fc Ya Ligi Kuu Ya China
  6. Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024
  7. Kikosi cha Timu ya Taifa U20 Kitakachoingia Kambini Agosti 5, 2024
  8. Ng’ombe 20 Kuchinjwa Jangwani Wiki ya Mwananchi
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo