Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024
Klabu ya Simba imepanga kuazimisha sherehe ya kutambulisha wachezaji wake wapya ambao wamesajiliwa kujiunga na kikosi cha wekundu wa msimbazi msimu wa 2024/2025. Sherehe io imepangwa kufanyika Agosti 3 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Katika sherehe io mashabiki watakao udhuria watapata fursa ya kuwajua wchezaji wote wa Simba pamoja na kupata burudani kutoka kwa wasanii maarufu mbalimbali. Hapa tumekuletea orodha ya maduka/Vituo vya kununua tiketi Simba Day 2024
Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024
- Lampard Electronic – Makao Makuu Msimbazi
- Vunja Bei – Maduka Yote Dsm | Vunja Bei – Mbeya
- New Tech General Traders & Supplier – Ubungo (Yenu Bar)
- Sabana Business Center – Mbagala Maji Matitu
- Ttcl – Maduka Yote
- Juma Burrah – Msimbazi Center
- Alphan Mohamedi Ihinga – Ubungo (Oilcom)
- Mtemba Service Company – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo Rombo
- Mkaluka Traders Limited – Machinga Complex
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Robert Nyanyanganya Bululu – Kigamboni Ferry
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala Bungoni Mtaa Wa Binti Kamba
- Kibacho Juma – Morogoro Tuliani
- Karoshy Pamba Collection – Darlive (Zakhiem)
- Twisty Investment Company Ltd – Geita Mjini Soko La Madini
- Tawi La Simba Karume Unstoppable
- Fusion Posta
- Antonio Service Company – Sinza & Kivukoni
- Mwanaidi Yusufu Izina – Morogoro Tuliani
- Gwambina Lounge – Luwanja Wa Wa Tcc Sigara
- Godwin Fredy Mmari – Geita Mjini Mtaa Wa Nkoani
Mapendekezo ya Mhariri:
- Kikosi Cha Yanga Vs Kaizer Chiefs 28 July 2024 – Toyota Cup
- Nauli ya Treni ya Umeme ya SGR Dar to Dodoma
- Wiki ya Mwananchi 2024 (Yanga Day): Tarehe, Matukio na Bei ya Tiketi
- Matokeo ya Yanga vs FC Augsburg Leo 20 Julai 2024: Yaliyojiri Uwanjani
- Kikosi Cha Yanga Vs FC Augsburg Mpumalanga Cup 20/July/2024
- Jezi Mpya za Simba 2024/25
- Hizi Apa Picha Za Jezi Mpya Ya Simba 2024/2025
- Simba SC Yatoa Tamko Rasmi Kuhusu Kibu Mkandaji
- Matokeo Simba Vs El-Qanah Egypt Leo (22 July 2024) Mechi Ya Kirafiki
Leave a Reply