Hiki Apa Kikosi cha Simba vs Azam Fc Leo 24/02/2025
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, leo watashuka dimbani kuwakabili wana Rambaramba, Azam FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, maarufu kama “Mzizima Derby”. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na utaanza rasmi majira ya saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mashabiki wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa vikosi vyote viwili.
Kikosi Rasmi cha Simba SC Dhidi ya Azam FC
Kocha wa Simba SC ametangaza kikosi chake cha kwanza ambacho kitakianza mchezo huu muhimu. Hiki hapa kikosi rasmi cha Simba SC:
- Camara (Kipa) – Jezi Namba 40
- Shomari Kapombe – Jezi Namba 12
- Hussein (C) – Jezi Namba 15
- Hamza – Jezi Namba 14
- Che Malone – Jezi Namba 20
- Kagoma – Jezi Namba 21
- Kibu – Jezi Namba 38
- Ngoma – Jezi Namba 6
- Ateba – Jezi Namba 13
- Ahoua – Jezi Namba 10
- Mpanzu – Jezi Namba 34
Wachezaji wa Akiba
Katika benchi, Simba SC ina wachezaji waliopo tayari kuingia na kubadilisha mwelekeo wa mchezo. Wachezaji wa akiba ni:
- Ally
- Duchu
- Houma
- Chamou
- Fernandes
- Chasambi
- Awesu
- Mashaka
- Mukwala
- Alex
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply