Gamondi Akalia Kuti Kavu Yanga
Uongozi wa Yanga Sc umethibitisha kuvunja mkataba wa aliyekuwa kocha Mkuu wa kikosi hicho, Angel Miguel Gamondi pamoja na kocha msaidizi, Moussa Ndaw. Tayari klabu imeanza mchakato wa kutafuta Makocha wapya wa kikosi hicho na unatarajiwa kukamilika hivi punde
Mapendekezo ya Mhariri:
- Kikosi cha Tanzania Vs Ethiopia 16/11/2024
- Simba Queens yaendeleza ubabe Soka la Wanawake
- Ratiba ya Mechi za Leo 14/11/2024
- Ratiba ya Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025
- Tabora United Waahidiwa Tsh Milioni 50 Kuifunga Simba
- Taifa Stars Kuiendea mechi Dhidi ya Ethiopia Kimkakati
- Simba yaahidi kuanza Mechi za Makundi Kombe la Shirikisho CAF kwa Kishindo
Leave a Reply