Fountain Gate VS Simba Leo 06 Februari 2025 Saa Ngapi?
Baada ya Yanga kushinda ushindi mnono wa goli 6-1 dhidi ya KenGold na kufanikiwa kukaa kwenye kilele cha msimamo wa ligi, leo ni zamu ya Simba ambapo atakutana na Fountain Gate Fc katika dimba la Tanzanite Kwara akiwa na kibarua cha kutafuta pointi 3 zikazo mrudisha katika uongozi wa msimamo wa ligi. Hapa Habariforum tumekuletea taarifa kamili kuhusu mchezo huu wa kukatana shoka wa ligi kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 kati ya Fountain Gate vs wekundu wa simbazi Simba Sc
Taarifa za Mechi ya Fountain Gate VS Simba Leo 06 Februari 2025
- Ligi: NBC Premier League
- Timu: Fountain Gate vs Simba Sc
- Tarehe: 06 Februari 2025
- Uwanja: Tanzanite Kwara, Manyara
- Muda: Saa 10:15 Jioni (EAT)
Mapendekezo ya Mhariri:
- RATIBA ya Mechi za Leo 06 Februari 2025
- CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Robo Fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho
- Kilichomuondoa Ramovic Yanga Hatimaye Chafichuka
- Timu zilizofuzu 32 bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
- Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025
- Matokeo ya Yanga Vs Kagera Sugar Leo 01/02/2025
- Ratiba ya Mechi za Yanga February 2025
- Aliekua Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi Atua Al Nasr ya Libya
- Kagera Sugar Yatamba Kuondoa Unyonge KMC Complex Dhidi ya Yanga
- Morocco Aweka Mikakati ya Ushindi dhidi ya Vigogo Ndani ya Kundi C AFCON 2025
Leave a Reply