Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili mlinzi mahiri wa kati, Karaboue Chamou, kutoka Ivory Coast. Chamou, ambaye amekuja kutoka klabu ya Racing Club d’Abidjan, amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC. Akiwa na urefu wa futi 6.2, Karaboue ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa katika kucheza mipira ya juu, kwa kujihami na pia kushambulia.

Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

arehe ya Kuzaliwa/Umri 22 Novemba 1999 (24)
Uraia Ivory Coast
Nafasi Beki wa Kati
Klabu ya Sasa Simba SC
Alijiunga 8 Julai 2024
Mkataba Unaisha 30 Juni 2026
Nafasi Beki wa Kati

Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

Uwezo wa Karaboue Chamou Uwanjani

Karaboue Chamou ni mlinzi wa kati mwenye uwezo wa hali ya juu. Urefu wake wa futi 6.2 unampa faida kubwa katika kuondoa mipira ya juu, jambo ambalo limekuwa changamoto kwa safu ya ulinzi ya Simba SC msimu uliopita. Uwezo wake wa kuzuia mashambulizi ya juu na pia kushambulia kwa mipira ya kichwa unafanya awe na umuhimu mkubwa katika kikosi.

Katika misimu aliyocheza na Racing Club d’Abidjan, Chamou ameonyesha uwezo mkubwa wa kulinda lango lake dhidi ya mashambulizi ya wapinzani. Amefanikiwa kuimarisha safu ya ulinzi ya timu yake na kuleta utulivu katika eneo hilo muhimu. Pia, uwezo wake wa kuanzisha mashambulizi kutoka nyuma kwa pasi sahihi ni faida kubwa kwa Simba SC.

Mapndekezo ya Mhariri:

  1. CV ya Fadlu Davids: Kocha Mpya wa Simba SC (2024/2025)
  2. Cv YA Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025
  3. Hii apa CV ya Omary Abdallah Kiungo Mpya Wa Simba 2024/2025
  4. Cv ya Valentino Mashaka Mshambuliaji Mpya wa Simba Sc 2024
  5. CV Ya Abdulrazak Hamza Beki Mpya Wa Simba 2024/2025
  6. CV ya Ahoua Jean Charles Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
  7. Cv Ya Steven Mukwala Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
  8. Cv Ya Joshua Mutale Mchezaji wa Simba
  9. Wachezaji Wapya Yanga | Wachezaji Waliosajiliwa Yanga 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo