Wafungaji Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Katika msimu wa mwaka 2024/2025 wa michuano ya CRDB Bank Federation Cup, ushindani wa kuwania kiatu cha dhahabu umechukua sura ya kipekee huku wachezaji wanne wakijipambanua kama wafungaji bora hadi sasa, kila mmoja akiwa na mabao manne (4). Michuano hii ya kitaifa imeendelea kuonyesha ubora wa vipaji vya ndani ya nchi, huku vikosi vikuu vikitoa nyota wanaoendelea kutikisa nyavu katika hatua mbalimbali za mashindano.
Nafasi | Mchezaji | Klabu | Mabao |
---|---|---|---|
1 | Aziz Ki | Yanga SC | 4 |
2 | Mohamed Bakari | JKT Tanzania FC | 4 |
3 | Berno Ngassa | Tanzania Prisons FC | 4 |
4 | Msenda Msenda | Stand United | 4 |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Timu Zilizofuzu Nusu Fainali Klabu bingwa UEFA Champions 2024/2025
- Simba SC Yasaini Mkataba Mnono wa Vifaa vya Michezo
- Ratiba ya CRDB Federation Cup Fixtures 2024/2025
- Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
- Matokeo ya Yanga vs Stand United Leo 15/04/2025
- Kikosi cha Yanga vs Stand United Leo 15/04/2025
- Viingilio Mechi ya Yanga SC VS Stand United Leo 15/04/2025
Leave a Reply