Azam vs Yanga Leo 10/04/2025 Saa Ngapi
Leo, tarehe 10/04/2025, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi ya kihistoria katika Ligi Kuu ya NBC. Azam FC, watawakaribisha mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC, katika dimba la Azam Complex, Chamanzi.
Mchezo huu wa dabi ya Dar es Salaam umekuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na historia ndefu ya ushindani kati ya timu hizi mbili, na bila shaka, mashabiki wa pande zote watajitokeza kwa wingi uwanjani.
Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga SC ni miongoni mwa mechi zinazovutia wengi hapa nchini. Ni mchezo unaozungumziwa sana kutokana na ubora wa timu hizi mbili na ushindani wao mkubwa ndani na nje ya uwanja.
Uhamisho wa wachezaji muhimu kama Feisal Salum na Prince Dube, na matokeo yenye msisimko yaliyosababisha michakato ya ubabe, ndio yanayofanya hii kuwa mechi isiyoweza kukosa kuangaliwa.
Taarifa za Mchezo Azam vs Yanga Leo 10/04/2025
- Mchezo: Azam FC vs Yanga SC
- Mashindano: Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) – Raundi ya 26
- Tarehe: Aprili 10, 2025
- Saa: 1:00 Usiku (7:00 PM EAT)
- Uwanja: Azam Complex, Dar es Salaam
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika
- Mikwaju ya Penati Yaipeleka Simba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho CAF
- Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
- Viingilio Mechi ya Simba VS Al Masry 09/04/2025
- Al Masry Yawasili Dar Kwa Ajili ya Simba – Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF
- Simba Queens Kuachana na Yussif Basigi Mwisho wa Msimu
- Rupia Atupia Goli lake la 10 na Kuipa Singida Big Stars Pointi 3 Muhimu Dhidi ya Azam FC
Leave a Reply