Ratiba Raundi ya Tano (16 Bora) CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Ratiba Raundi ya Tano 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024 2025

Ratiba Raundi ya Tano (16 Bora) CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank Federation Cup 2024/2025, maarufu kama Kombe la FA Tanzania, inaendelea kushika kasi huku hatua ya 16 bora ikikaribia. Timu zimekuwa zikishindana vikali kuhakikisha zinapata nafasi ya kusonga mbele, na tayari baadhi yao zimejihakikishia tiketi ya hatua inayofuata baada ya kuonyesha uhodari wao katika raundi ya nne ya mashindano haya.

Mashindano haya yanayoshirikisha timu kutoka madaraja tofauti ya soka Tanzania, yameonyesha ushindani wa hali ya juu huku timu zikijitahidi kufanya vizuri ili kufanikisha malengo yao ya kusonga mbele. Katika raundi ya tano, mechi za hatua ya 16 bora zitapigwa kwa utaratibu wa kawaida wa kuanza majira ya saa 10 jioni (16:00hrs), isipokuwa kama kutakuwa na mabadiliko maalum.

Ratiba Rasmi ya Mechi za Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Mechi za raundi hii zitachezwa kati ya tarehe 13 Machi hadi 29 Machi 2025 katika viwanja tofauti nchini. Hizi ni ratiba kamili za mechi zinazotarajiwa:

Jumatano, 13 Machi 2025

  • Singida Black Stars vs KMC FC (Kwaraa, Manyara)
  • JKT Tanzania vs Mbeya Kwanza (Isamuhyo, Dar es Salaam)
  • Mbeya City vs Mtibwa Sugar (Sokoine, Mbeya)

Jumanne, 26 Machi 2025

  • Stand United vs Giraffe Academy (Kambarage, Shinyanga)
  • Jumatano, 27 Machi 2025
  • Simba SC vs Bigman FC (KMC, Dar es Salaam)

Alhamisi, 28 Machi 2025

  • Tabora United vs Kagera Sugar (TBC, Tabora)
  • Jumamosi, 29 Machi 2025
  • Mashujaa FC vs Pamba Jiji (Tanganyika, Kigoma)
  • Young Africans vs Songea United (Ruvuma, Dar es Salaam)

Ratiba Raundi ya Tano (16 Bora) CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Taifa Star Kilichoitwa Kambini Kufuzu Kombe la Dunia
  2. Timu Zilizofuzu 16 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Federation Cup 2024/2025
  3. Uwanja wa Benjamini Mkapa Wafungiwa na CAF
  4. Kikosi cha Simba vs TMA Stars Leo 11/03/2025
  5. Simba vs TMA Stars Leo 11/03/2025 Saa Ngapi?
  6. Yanga VS Simba Leo 08/03/2025 Saa Ngapi?
  7. Mechi ya Leo ya Yanga Dhidi ya Simba Yaahirishwa
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo