Yanga Vs Copco FC Leo 25/01/2025 Saa Ngapi?

Yanga Vs Copco FC LeoSaa Ngapi

Yanga Vs Copco FC Leo 25/01/2025 Saa Ngapi?

NGUVU, utulivu na kuweka dharau pembeni ndio vipaumbele vya mabingwa watetezi, Yanga SC, wanapokaribia kushuka dimbani leo kwa ajili ya mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la FA dhidi ya Copco FC. Mechi hii itachezwa katika Uwanja wa KMC Complex, jijini Dar es Salaam, ikianza saa 10:00 jioni. Hii ni fursa muhimu kwa Yanga kurejesha furaha kwa mashabiki wao baada ya changamoto walizokutana nazo kwenye mashindano ya kimataifa.

Taarifa Muhimu za Mechi Yanga Vs Copco FC Leo

  • Mashindano: Kombe la FA (CRDB Bank Federation Cup)
  • Timu: Young Africans SC vs Copco FC
  • Tarehe: 25 Januari 2025
  • Uwanja: KMC Complex, Dar es Salaam
  • Muda: Saa 10:00 Jioni

Fuatilia Hapa Matokeo ya Yanga Vs Copco FC Leo 25/01/2025

Yanga Vs Copco FC Leo 25/01/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Lyanga Apania Kufanya Makubwa Mashujaa FC
  2. Yanga Yapania Kurudi kwa Nguvu Ligi ya Mabingwa Msimu Ujao
  3. Ancelotti Kuondoka Real Madrid Mwisho wa Msimu 2024/2025
  4. Kagera Sugar Yatangaza Kumsajili Feruzi Kutoka Simba
  5. Takwimu za Yanga Katika Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025
  6. Kariakoo Dabi Kupigwa Kwa Mkapa Machi 8
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo